Kuna mtu aliienda Italy akashundwa kwenda sambamba na misa kwakuwa ilikuwa Kitaliano tu !
Sie iwe China/Mexico au Urusi tunakwenda sawa !
'Na hakika tumeisanifu Qur'an kwa lugha ya kiarabu ili iwabashiriye kwayo wanao mcha MUNGU na iwaonye kwayo watu wabishi.
Q: 19:97
Issue hapo ni kumwomba mungu...kusamehewa makosa yako..wewe binafsi...ukisema unaenda sambamba kwa kuinama na kupiga magoti hiyo sio tija maana mungu anasema kila mtu anasamehewa au anahukumiwa kutokana na makosa yake..kukariri tu maneno na kuyarudia rudia kwa pamoja..hakusaidii!