Search results

  1. Evarm

    Second round call for applications for undergraduate programmes in the academic year 2020/2021 for SUA

    Habari zenu wakuu, Nimetumiwa hili tangazo ya kuwa SUA wameshafungua raundi ya pili ya application. Naomba tukumbushane ndugu zetu, tuombe kabla ya tarehe 18/10/2020. Nawasilisha.
  2. Evarm

    Mzumbe University SACCOS ni jipu

    Habari zenu wakuu, Tunaomba Viongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe wa SACCOS (MU SACCOS) mlipe wafanyakazi wenu waliostaafu na waliohama hapo chuoni. Hiki ni chuo cha viongozi lakini hamna hata Uongozi bora na kujali watu mliofanya nao kazi au waliostaafu kwa kuwalipa hela zao kwa wakati za SACCOS...
  3. Evarm

    Moruwasa tufungulieni maji watu wa kiegea "A" na "B"

    Habari zenu wakuu, Idara ya maji safi Morogoro mjini (MORUWASA) mnatutesa sana wakazi wa kiegea A na B. Mmetuunganishia haya mabomba lakini hamtaki kutufungulia maji. Mfano leo hii ni zamu yetu ya maji lakini mmefungulia kidogo sana yaani tumekinga ndoo tano tu mmekata. Hizi ndoo tano kwa...
  4. Evarm

    Nauza HP laptop

    Nauza laptop yangu aina ni HP Compaq Presario CQ 50, ina 2GB Ram, Speed 2GHZ, na 150GB. Haikai na chaji, pia feni ni mbovu .bei laki moja na nusu. Pungufu unaongea
  5. Evarm

    Plot4Sale Shamba linauzwa

    Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache utauziwa pia. NiPM km unahitaji.
  6. Evarm

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kilichopimwa morogoro mjini

    Habari wanajamvi, nauza Kiwanja change chenye ukubwa wa 35x45 mita, kimepimwa na manispaa ya morogoro, kina ofa. Nauza kwa bei ya tsh 10M haipungui. Eneo lipo kihonda Kilimanjaro ( karibu na eneo la muhimbili) Kama utahitaji unipigie kwa namba hii 0785404575.
  7. Evarm

    Marmo tiles Mbeya Tanzania

    Habari ndugu, jamaa na marafiki, Naulizia bei ya Tiles za Marmo zinazopatikana kwenye kiwanda chao kilichopo mbeya. Nasikia zile ni tiles zitengenezwazo kwa kutumia mawe matupu na ni imara sana kushinda hizi tiles zetu za kawaida. Naomba anayefahamu au aliyewahi kununua akanijuza kuhusu hili...
  8. Evarm

    "What are Words"

    Habari wanaMMU, burudika na wimbo huo. "What Are Words" Anywhere you are, I am near Anywhere you go, I'll be there Anytime you whisper my name, you'll see Where every single promise I'll keep Cause what kind of guy would I be If I was to leave when you need me most What are words If you...
  9. Evarm

    I miss u gfsonwin

    Ni muda sana umepita bila ya kuona comments zako dada gfsonwin Mara nyingi comment zako huwa zanifurahisha pia zina maonyo ndani yake. Dhumuni kubwa ni kuwa nimekukumbuka sana dadangu gfsonwin. Natumaini u mzima bukheri wa afya, popote pale ulipo pokea salamu zangu za dhati toka moyoni. Nimemisi...
  10. Evarm

    How to Android development

    Habari wandugu, Jamani natafuta sehemu ambayo naweza kujifunza jinsi ya kutengeneza android apps. Yaani napenda sana kuwa android developer. Hadi sasa nimejifunza C, C++, Java, HTML5, na CSS3. Sasa hv nataka kujifunza kwa undani zaidi kuhusu android kwa ajili ya kutengeneza apps mbalimbali...
  11. Evarm

    Thanksgiving

    Nawasalimu wana MMU, Ilikuwa ni siku ya Jumatano saa nane mchana tarehe 21/08/2013, nikiwa Bwagala Hospital ya Kihonda nilimpoteza mwanangu kipenzi Glory. Nilimpenda sana alikuwa ana miezi sita na siku 15 tu na ndio mtoto wangu wa kwanza lakini Mungu alimpenda zaidi yangu. Nimeumia sana kwa...
  12. Evarm

    Kitovu kuvuta wakati una mimba

    Salaam JF Doctors, Nina mimba ya miezi minne, jioni ya leo ninajisikia kitovu kuvuta sana kwa ndani na hii hali inaendelea hadi sasa. Ninaombeni msaada wenu kufahamu je hii hali ni kawaida au ni tatizo kwa mama mjamzito? Samahani nipo mbali sana na hospitali ningeweza kwenda kupima na kujua...
  13. Evarm

    Msaada tatizo la mifupa

    Nina bibi yangu ana umri wa miaka 85 sasa hivi, ana matatizo ya mifupa kwani kile kimiminika kati ya mifupa (yaani viungio vya mifupa) imekwisha hivyo mifupa yake ya miguu inasagika kwa msuguano. Sasa hivi hawezi kutembea wala kusimama muda mrefu kama dakika tano anasema miguu (sehemu za...
  14. Evarm

    Matokeo ya NM AIST- Master's application

    Majibu ya applicant's wa masterz programme hapo NM AIST yanatoka lini? Naomba mwenye kujua hili anisaidie!
  15. Evarm

    How to Shave The Pubic Area for Women?

    How to Shave The Pubic Area for Women? The shaving of pubic area for women can be a hassle. The sensitive skin in this area is more prone to breakouts and shave bumps than on other areas of the body. Pubic Area Shaving Tips Trim first. If your hair is long, you will spend more...
  16. Evarm

    Beauty Treatments During Pregnancy

    Beauty Treatment During Pregnancy It is a well-known fact that a pregnant woman's body undergoes many alterations, owing to hormonal changes. Are you pregnant, and have started noticing changes? Your skin has turned ever so sensitive, acne has suddenly become severe, there are more...
  17. Evarm

    Urine Therapy And Candida

    Urine therapy (also known as UT) is the use of urine for curative properties and it's something that has been used by many holistic practitioners to fight many health problems including candida. In urine therapy, urine is used topically and ingested as well. This is a healing practice...
  18. Evarm

    Msaada wa kuelimishwa

    "Ni wiki ya nne tokea mke wangu amesafishwa baada ya mimba kuharibika, ni jana amening'ang'ania sana kutaka huduma ya tendo la ndoa anadai kwamba amepona na ana hamu sana ya "mhogo". Nikampatia huduma bila ya ajizi na hatukutumia kinga yoyote." Naomba kuuliza, je kuna uwezekano mkubwa wa yeye...
  19. Evarm

    Naomba kuelimishwa juu ya hili!

    Salaam,
  20. Evarm

    Dedication to all jf members!!!

    Hi friends, I love this song & i feel like sharing with you!!! Justin Beiber - mistletoe It's the most beautiful time of the year Lights fill the streets spreading so much cheer I should be playing in the winter snow But I'mma be under the mistletoe I don't want to miss out on the holiday...
Back
Top Bottom