I miss u gfsonwin

I miss u gfsonwin

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
2,000
Reaction score
1,560
Ni muda sana umepita bila ya kuona comments zako dada gfsonwin Mara nyingi comment zako huwa zanifurahisha pia zina maonyo ndani yake. Dhumuni kubwa ni kuwa nimekukumbuka sana dadangu gfsonwin. Natumaini u mzima bukheri wa afya, popote pale ulipo pokea salamu zangu za dhati toka moyoni. Nimemisi ushauri wako, matani nk.

miss.jpg

miss u.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mtambuzi, kwanza shkamoo dingi. Afu gfsonwin ni mama yetu wa kuondokea? Inakuwaje.una habari zake.binafsi?
Ushaanza fitina zako......
Kwani hujui kwamba gfsonwin ni shangazi yenu, anazaliwa na mama angu mdogo binamu yake baba, ambaye aliolewaga huko West Kilimanjaro miaka ya 70 kabla Iddi Amini hajapindua nchi huko Uganda
 
Last edited by a moderator:
Dingi tuanzishe kampuni yetu ya kuunganisha ndugu waliopoteana. Una ndugu wengi mno bwana. Uzuri aunt gfsonwin ana mahela anafaa kupigwa mizinga. Ila yule aunt mwingine kime yule mmh
Ushaanza fitina zako......
Kwani hujui kwamba gfsonwin ni shangazi yenu, anazaliwa na mama angu mdogo binamu yake baba, ambaye aliolewaga huko West Kilimanjaro miaka ya 70 kabla Iddi Amini hajapindua nchi huko Uganda
 
Last edited by a moderator:
Ushaanza fitina zako......
Kwani hujui kwamba gfsonwin ni shangazi yenu, anazaliwa na mama angu mdogo binamu yake baba, ambaye aliolewaga huko West Kilimanjaro miaka ya 70 kabla Iddi Amini hajapindua nchi huko Uganda

sema vizur!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom