Msaada tatizo la mifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tatizo la mifupa

Discussion in 'JF Doctor' started by Evarm, Jun 20, 2012.

 1. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Nina bibi yangu ana umri wa miaka 85 sasa hivi, ana matatizo ya mifupa kwani kile kimiminika kati ya mifupa (yaani viungio vya mifupa) imekwisha hivyo mifupa yake ya miguu inasagika kwa msuguano. Sasa hivi hawezi kutembea wala kusimama muda mrefu kama dakika tano anasema miguu (sehemu za viungio) vinamuuma sana.

  Jamani mwenye kujua tiba (mbadala au za hospitali) juu ya ugonjwa huu naomba anisaidie kwani anateseka sana, amezunguka hospitali nyingi bila ya kupata dawa ya uhakika zaidi ya kupunguza maumivu tu. Nawasilisha!!!
   
 2. R

  Richard Nguma Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda hata Mimi nilikuwa na Hilo tatizo
  Na umri wangu ni mdogo 36 year,kazi yangu ilikuwa ni mt kilimanjaro guide for 15 years .kitu ambacho kimeisha ni ile fluid ya kwenye viungo yaani cartilage ,kuna dawa kamanda ambazo zinapatikana hapa USA $60 zina uwezo ku kurudisha ile fluids ,tuwasiliane
  +15015451182
   
 3. d

  daudycharles Member

  #3
  Apr 20, 2014
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mpe pole
   
 4. REX

  REX JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2014
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu ni msaada tosha kwa hawa wazee wetu
   

  Attached Files:

 5. NANDERA

  NANDERA JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2014
  Joined: Mar 18, 2014
  Messages: 1,882
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Du! bora hata bibi inaeleweka ni uzee. Mi nina miaka 33 nina hilo tatizo. Lilianza miaka 4 iliyopita. Sijapona kabisa ila tatizo limepungua. Nakula vyakula vyenye calcium kwa wingi ili kuimarisha mifupa. Ikiwa imara kusagana kunapungua, nakula pia vyenye omega 3 kama samaki wa maji baridi. Mpeleke bibi kinondoni kwa dr. boaz 0713236164. Kama uko mbali na dar peleka picha yake ya hivi karibuni ya x-ray inayoonyesha aina/ukubwa wa tatizo. Huyu dr atakuelekeza vyakula vinavyoweza kurudisha fluid. Ni vyakula tunavyoviona kila siku kama kisamvu ila atakuelekeza namna nzuri ya kutumia hivyo vyakula. Mimi daktari aliniambia kabisa dawa hakuna na nimeangalia kwenye mitandao kuhakikisha nikaona ni kweli. Dawa zilizopo nyingi ni supplements za virutubisho tu. Naishi kwa vyakula na naendelea vizuri. Kamuone huyu daktari.
   
Loading...