Nauza HP laptop

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,973
1,490
Nauza laptop yangu aina ni HP Compaq Presario CQ 50, ina 2GB Ram, Speed 2GHZ, na 150GB. Haikai na chaji, pia feni ni mbovu .bei laki moja na nusu. Pungufu unaongea
 
Weka picha ya bidhaa yako,bila kusahau number yako na utuambie uko mkoa gani hii tanzania
 
Nipo dar, mbezi. Namba ya simu ni 0716965976. Ninashindwa kuweka picha, ngoja niombe wajuzi wanisaidie hapa
 
1458121197870.jpg
 
Karibu sana, picha hizo hapo juu, namba 0716965976
 
Nauza laptop yangu aina ni HP Compaq Presario CQ 50, ina 2GB Ram, Speed 2GHZ, na 150GB. Haikai na chaji, pia feni ni mbovu .bei laki moja na nusu. Pungufu unaongea
Haina tatizo lolote ?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom