Msaada wa kuelimishwa

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,934
1,400
"Ni wiki ya nne tokea mke wangu amesafishwa baada ya mimba kuharibika, ni jana amening'ang'ania sana kutaka huduma ya tendo la ndoa anadai kwamba amepona na ana hamu sana ya "mhogo". Nikampatia huduma bila ya ajizi na hatukutumia kinga yoyote."
Naomba kuuliza, je kuna uwezekano mkubwa wa yeye kushika tena mimba baada ya kufanya hiyo jana? Naomba wenye uelewa juu ya hili mnielimishe.
 
Inategemea yai lake la uzazi kama lipo karibu anaweza kupata mimba au hawezi kupata mimba kwani mkuu una wasiwasi wa kupata mimba?
 
Siogopi mkuu ila nahisi kama bado hajapona vizuri nilikuwa nataka apumzike kwa miezi miwili ndio ashike mimba nyingine.
 
Kama unampango wa kufanya child spacing then itafaa umwache mpaka atakapoanza kupata siku zake, au kipindi hiki unafanya kwa kutumia kinga mfano condom au withdraw ejaculation. Lakini kama huitaji then you do as usual ila tu damu damu ziwe zimekatika kabisa na mara nyingi huchukua 1-2wks baada ya hapo unaweza kufanya tendo kama kawa ila risk ni kuwa anaweza pata mimba bila kujua hasa kama mimba haikuhitajika.
 
Mpe nafasi apate muda mrefu wa kupumzika,unajua hamu inapokuja hata nae anasahau maumivu yote. Mkuu najua wazi mimba ilipoharibika,ulijisikia vibaya pia ukawa na hofu. Ni vema ume muda aendelee kupumzika sana.
 
Asante kwa ushauri mkuu!
 
Siogopi mkuu ila nahisi kama bado hajapona vizuri nilikuwa nataka apumzike kwa miezi miwili ndio ashike mimba nyingine.

...Kama daktari hakuwapeni masharti kwamba msifanye kwa muda fulani basi hakuna tatizo.
 
Mpe nafasi apate muda mrefu wa kupumzika,unajua hamu inapokuja hata nae anasahau maumivu yote. Mkuu najua wazi mimba ilipoharibika,ulijisikia vibaya pia ukawa na hofu. Ni vema ume muda aendelee kupumzika sana.

Point taken mkuu! ingawa ni yeye ndio alihitaji hii kitu.
 
haina madhara km ni wiki ya nne hasa km alipata na dawa vizuri na alisafishwa vizuri, na cha muhimu zaidi km hatokwi na uchafu wowote bt tumia mpira km imani yako inakuruhusu kuondoa uwezekano wa uambukizi wowowte ambao unaweza kutokea km hakusafishwa vizuri( note kutoa uchafu au harufu nidalili kuwa inawezekana hakusafishwa vzr)
 
Back
Top Bottom