Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,000
- 1,560
Habari ndugu, jamaa na marafiki,
Naulizia bei ya Tiles za Marmo zinazopatikana kwenye kiwanda chao kilichopo mbeya. Nasikia zile ni tiles zitengenezwazo kwa kutumia mawe matupu na ni imara sana kushinda hizi tiles zetu za kawaida. Naomba anayefahamu au aliyewahi kununua akanijuza kuhusu hili.
Nawasilisha.