Search results

  1. Kranium

    INAUZWA Nauza HP LCD Widescreen Monitor

    HP LCD monitor Size: 47 cm (18.5 in) widescreen; diagonally measured With VGA and Power cables Price: 60,000/= Tshs Location: Sinza Mori near Lufungila Bus Stop Contact: 0752776793
  2. Kranium

    Tukumbushane miziki ya enzi za kina maunda zorro, vumi n.k

    Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika) Maunda Zorro - Nataka niwe wako Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini Weka orodha yako unayoikumbuka kipindi hicho na uliikubali kinoma...
  3. Kranium

    Hakuna mtu anayejiamini kama huyu

    1. Mama/baba aliyepokea kodi ya nyumba 2. Mfanyakazi wa taasisi/wizara ya serikali amepokea mshahara 3. Madalali/watu wa kati/wapiga dili kama issue imepiga tick 4. Mtu amepandishwa cheo 5. Ndezi/domo zege ameng'oa demu 6. Machinga ameuza sana kwa siku 7. Ametoka kwenye mafunzo ya JKT 8. Amevaa...
  4. Kranium

    Story yeyote uliyowahi kusikia kijiweni ukaona ni kamba (uongo)

    Nimeenda kijiweni siku moja baada ya kazi, nikaenda kubadilishana mawazo na kupoteza muda. Kuna jamaa alituambia hiyo story...nikabaki nacheka tu (Nashindwa kuiandika huenda yuko humu JF) kwa sababu atanijua. Nilicheka sana mpaka nikaenda home kuepusha ugomvi. Niambie ya kwako..
  5. Kranium

    A List of underatted/co producers of all the time

    1. Professor Ludigo 2. Lamar 3. Bizman 4. Allan Mapigo 5. Chizan Brain
  6. Kranium

    My best music producers of all the time

    1. P Funky (Majani) 2. Master Jay 3. Mika Mwamba 4. Roy (G Records) 5.Sound Crafters
  7. Kranium

    Kubadilishana kituo cha kazi: UALIMU

    Habari wadau, Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi iliyo katika Manispaa ya Arusha, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aliye Dar es Salaam hasa Manispaa ya Temeke. Kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba: 0653985124 Ahsanteni sana.
  8. Kranium

    Werrason - Kibuisa Mpimpa (Operation Dragon) Full Album

    Leo tujikumbushe kidogo album ya mwanamuziki wa Kikongo Noel Ngiama Makanda maarufu kwa jina la Werrason iliyotoka mwaka 2001. Mpaka leo hii mi nazisikiliza sana bolingo kiukweli hazichoshi na huwa zinarudisha kumbukumbu enzi zile tukiwa wadogo. Katika Album hii nyimbo ninazozipenda sana ni...
  9. Kranium

    Isikilize zhouk kali ya Q chillah

    Nyimbo nzuri kuanzia melody, mashairi na beat......toka jana usiku naiskiliza tu haichoshi, nimeweka REPLAY. Inaitwa "naogopa"
  10. Kranium

    Makampuni ya simu, fanyieni kazi wazo hili!!!

    Salaam wadau... Ni muda mrefu nimekuwa nikiona wanafunzi wa elimu ya juu wakilalamika kuhusu pesa ya kujikim "boom" haitoshi. Pengine inatokana na matumizi makubwa na yasiyo na ulazima. Mara nyingi pesa imekuwa ikiwaishia kabla ya kipindi kilichopangwa, matokea yake wengi wao wamekuwa wakipata...
  11. Kranium

    Hukumu kucheleweshwa kutolewa, nichukue hatua zipi za kisheria?

    Salaam wadau! Yapata miaka miwili sasa tangu nifungue mashtaka CMA dhidi ya kampuni fulani ya hapa jijini Dar (jina kapuni). Kampuni ilisitisha mkataba wangu wa miaka 2 due to redunducy ambayo haikuspecify termination reason. Madai yalisikilizwa na kampuni ilipoambiwa tufanye mediation...
  12. Kranium

    Basi la mwendokasi likiwa juu ya mawe

    picha inajieleza
  13. Kranium

    Msaada: Nahitaji Latest Photo & Video editing software for Windows

    Salaam wadau.. Ninaomba mwenye software zifuatazo anisaidie, ikiwezekana kama utakuwa na download link nipatie tafadhali (cracked/zipped) 1. Adobe Premiere Pro 2. Magic Bullet Suit 3. Bluff Tittler 4. Adobe Photoshop 5. Nyinginezo ambazo ni nzuri na muhimu katika video production sector
  14. Kranium

    MATATIZO YA SIMU: Mafundi tubadilishane uzoefu wa kuyatatua

    Salaam wadau... Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa kutoka vyuoni, nimeamua kujiajiri wakati nasubiri matokeo ya maombi ya kazi niliyotuma. Kuliko kupoteza muda kwa kusubiri kitu ambacho hakina uhakika (Gamble), nimeamua kufungua KIOSK cha kuwaungia wateja internet...
  15. Kranium

    Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura

    Salamu kwenu wakuu na poleni kwa majukumu ya kimaendeleo, Kwa kuwa nilichelewa kuomba nafasi ya kuwa msimamizi kipindi kilichopita cha uandikishwaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya BVR, ningependa kufahamu ni lini nafasi za kusimamia upigaji kura hapo Oktoba 25 zitatolewa na Tume ya...
  16. Kranium

    Tujikumbushe kampuni za video za zamani, hasa kwa Bongo Fleva

    Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 video nyingi za bongo fleva zilirekodiwa na list ya kampuni zifuatazo: 1. Royal production 2. Mwananchi videoz 3. African pictures 4. Benchmark 5. 2 eyez 6. G videoz Kama unazikumbuka nyingine unaweza ongezea! Sijui kama bado zina-exist?
Back
Top Bottom