Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura

Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
392
Salamu kwenu wakuu na poleni kwa majukumu ya kimaendeleo,

Kwa kuwa nilichelewa kuomba nafasi ya kuwa msimamizi kipindi kilichopita cha uandikishwaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya BVR, ningependa kufahamu ni lini nafasi za kusimamia upigaji kura hapo Oktoba 25 zitatolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili nijiandae mapema kwa maombi ya kazi hiyo ya muda?

Nahitaji msaada wenu tafadhali kwa yeyote anayefahamu!
 
Waliofanya kazi ya bvr ndio watakaopewa kipaumbele labda awe amearibu katika kazi ya bvr ndo atatoswa hii ni kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi
 
Hivi vibarua ni vya kujitolea mazingira ni hatarishi ukipewa ww watu wakirusha mawe polisi wakirudha mabomu ya machozi utakimbia na hamna pa kukipata kirahisi ila mwajiriwa tutampata na akiharibu kazi anawajibishwa.
BVR vijana Wendi walikimbia kazi haya ni mazoezi magumu watu wanapewa posho tu inakua rahisi kukumbia mtu akiitiwa dili nyingine kama sio mwajiriwa wa Government anaondoka
 
kama wewe sio mwalimu...
sahau kazia hii
 
Salamu kwenu wakuu na poleni kwa majukumu ya kimaendeleo,

Kwa kuwa nilichelewa kuomba nafasi ya kuwa msimamizi kipindi kilichopita cha uandikishwaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya BVR, ningependa kufahamu ni lini nafasi za kusimamia upigaji kura hapo Oktoba 25 zitatolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili nijiandae mapema kwa maombi ya kazi hiyo ya muda?

Nahitaji msaada wenu tafadhali kwa yeyote anayefahamu!

walimu ndio wanasmamia je wewe nl mwl
 
Waliofanya kazi ya bvr ndio watakaopewa kipaumbele labda awe amearibu katika kazi ya bvr ndo atatoswa hii ni kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi

huu ndo ukweli.
 
Jamani hiyo Sera ya kusema walimu ndo wanaosimamia imeanza na uchaguzi huu? Maana Mimi sio mwalimu but uchaguzi uliopita niliomba na nikapata
Mkuu mwaka huo ulioptaga walitoa kiasi gani mpka kumalza zoezi?? Ahsanteh
 
Jaman,mwisho wa kuomba usimamizi wa kura,kwa wilaya ya kibaha vijijini,ilikuwa tarehe 2.9.2015,saa nane...but sijajua sehemu nyingine.
 
Kinondoni, Temeke na Ilala mwisho leo saa 9:30 jioni.
 
F fvnyjnbhgtd, rycgbgbvebnnnnnbyrvbbhyh hbbvvvbbbhyb bbgyrbhybcybnb
 
Na zile za European union election observation kuna mwenye update wadau zilitolewaga magazetini.
 
Back
Top Bottom