Search results

  1. LD

    Siipendi chat, Invisible ikiwezekana iondoe tu............

    Mimi chit chat siipendi............ Paw, Fang, Cookie, mods wote.............Mi siipendi Chit chat. Chit chat ni Majanga tu................Say No to Chit Chat
  2. LD

    Baby huna Future......Mwanaume/mkaka unaambiwa hivi

    Hivi mwanaume/mkaka unajisikia je, ukiambiwa na mchumba/girlfriend wako hivi. Baby naona tuachane tu kwa sababu naona HUNA FUTURE!!! Anarudia baby HUNA FUTURE WEWE!!
  3. LD

    Nimemisi tu EMUEMUYU

    habari zenu jamani, natumaini mpo salama.......... Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo. Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi? Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi...
  4. LD

    Naomba Uzoefu wenu, Umekutana na rafiki yako wa kiume wa zamani, Moyo unapasuka paaaaah

    Habari za siku nyiki wapendwa kaka na dada, nimejitokeza kwenu, kuomba ushauri na uzoefu wenu katika hali kama hii nayoisikia sasa. Sio lazima nikisema mimi iwe ndio mimi kabisa eeh. Yawezekana namwakilisha mtu ila najiita mimi. Manake wapwa hamchelewi kuunganisha dots hapa. Mwenzenu kulikuwa...
  5. LD

    Nawatakieni Mwaka 2012 wenye Baraka

    Habari za kwenu wana Chit chat, MMU na Wanasiasa, na hao wengine wachekeshaji, walalamikaji na wooooooooooooote wenye mapenzi mema na JF. Kusema ukweli tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema yake aliotujalia kwa kipindi chote cha mwaka huu unaoisha 2011. Mwaka ulikuwa na vipindi...
  6. LD

    Dah kweli Maisha magumu na muda hautoshi.

    Niko kwenye daladala natokea kwenye pilikapilika za kutafuta mkate wa kila siku. Pembeni yangu kakaa mama mmoja anayeonekana katoka kutafuta mkate na yeye. Mama huyu amechoka, anaonekana pia hana furaha ya kutosha. Mara amefungua mfuko wake katoa mboga za majani anaanza kuchambua. Dah...
  7. LD

    Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

    Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku. Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu. Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4...
  8. LD

    Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

    Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini? Mbarikiwe sana. Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina...
  9. LD

    Umewahi kukutwa na hali kama hii??

    Yani unaweza ukajikuta unakosa amani moyoni, ukifikiria ulicho kifanya hukioni!!! Lakini moyo umeinama, huna furaha, yani hujachangamka kwa ujumla. Lakini ukiangalia umekosea wapi huoni, ukijiuliza sasa kwa nini unakuwa hivi hupatati jibu. Unaweza ukatamani hata kukaa tu mahali peke...
  10. LD

    Mchuma janga hula na wa kwao!

    Wapendwa habarini za Ijumaa, natumaini, mnayo Ijumaa nzuri yenye furaha na amani. Hata wale ambao wanaiona sio nzuri kwa sababu mbalimbali, bado tuendelee kumshukuru Mungu madamu ametuachia uhai na afya. Kuna jambo nimeliona katika jamii inayotuzunguka, nikafikiria halafu nikaona tushirikishane...
  11. LD

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri...
  12. LD

    Naombeni msaada wapendwa!!!!!

    Salamu kwenu nyote Mabibi na Mabwana, natumaini mko Salama kabisa. Kuna jambo moja nimeliona likanipa maswali mengi, halafu nikawa sipati majibu mazuri. Kuna ndoa moja ya mume moja na mke mmoja wote Wakristo. Sio ndoa changa wanandoa ni watu wazima kabisa. Kwenye miaka ya 50's hivi. Baba ana...
  13. LD

    Nawatakieni jumatatu njema mabibi na mabwana

    Habari zenu binafsi wapendwa, kaka,dada, baba,mama,babu/bibi. Hongereni kwa kumaliza weekend salama, natumaini ilikuwa nzuri, hata kwa wale ambao haikuwa nzuri kama walivyotarajia poleni ila la msingi tunamshukuru Mungu kwa sababu bado uzima upo. Nawapongeza wale wote waliopata nafasi ya...
  14. LD

    Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

    Salamu kwako PM, Nakupongeza kwa kutimiza miaka kadhaa, Mungu akubariki, akulinde, na azidi kukutunza. Nakutakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio, Mungu akujalie uwaone watoto wa watoto wako. UBARIKIWE
  15. LD

    mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

    Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake? Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake. Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
  16. LD

    Power Mabula, Power Mabula

    Mwanaume wa ukweli
  17. LD

    Handsome boy

    Waone hawa.
  18. LD

    Wakushuka chadema yupo!!!!!

    Leo jioni nikiwa ndani ya daladala kutoka Mwenge kwenda Makongo juu, Konda alikuwa anatangaza vituo kama kawaida ili watu wasipitishwe vituo vyao vya kushukia. Kuna kituo kimoja kinaitwa CCM nadhani kuna ofisi za CCM mahali hapo, Mara konda kasema CHADEMA!!! Wakushuka CHADEMA yupo? Abiria...
  19. LD

    Tusimtukane mtu:

    Jamani tunatakiwa tutambue hivi, CCM ni wajanja, na wanajua kabisa kuna watu ambao wakikamata akili zao na maisha yao, itawapa kufanikiwa ktk kuendelea kumtawala Tanzania. Tutazame mambo haya; * Mkakati wa kuviteka vyombo vya habari eg Clouds........... * Kuwateka wasanii eg Malow, Nakaaya...
  20. LD

    Mtanzania 'Gaidi' apandishwa Kizimbani Marekani (New York, Marekani)

    Mtanzania anayetuhumia kuhusika katika mashambulio ya mabomu dhidi ya balozi za Mareka mjini Dar es Salaam, Tanzania na Nairobi, Kenya mwaka 1998, Ahmed Khalifan Ghailan,ametajwa juzi na mwendesha mashtaka wa mahakama ya Manhattan nchini Marekani kama muuaji wa halaiki. Ghalaini anatuhumiwa...
Back
Top Bottom