Ngoja vichenchede waje wakujibuNdo majanga haya......chit chat inaharibu afya yangu ya JF
Kuchati tuchati sie vichechede vyetu sie afya ukose wewe .......majangaNdo majanga haya......chit chat inaharibu afya yangu ya JF
kinachofuata uwe supu tuMbuzi kafia kwa mwuza supu.
kinachofuata uwe supu tu
stress zitatolewa wapi?Hiwezekani..........napinga chit chat kwa afya ya JF
basi kama ni stress noma mana hata jioni haijafikaMsaidie atoe stress
Chit chat ndo ile ya visichana vilivyofeli form four au ni ipi hiyo!!
Ndo majanga haya......chit chat inaharibu afya yangu ya JF