Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,014
574
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?
 
Kuna signature moja ya mwanajamii mmoja hapa ilikuwa inasomeka hivi,"Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa kwanini tunabalehe kabla ya ndoa".
 
Kabla ya kuwaauliza mababu wa huku, vp huyo babu yako uliongea chochote? na je huyo binti uliongea naye chochote zaidi ya kumuuliza miaka?
 
Kwa hiyo PM, unataka kusema ni haki ya hako kabinti kuwa na hako kababu sio.
Au ni aje hapo kaka angu!!!
 
Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako, chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya
 
LD umesahau huwa tunaambiwa tumezeeka wanataka mbegu changa ndio zenye moto haya we ,dunia vurugu tupu babu/bibi na mjukuu haina maelezo watu tumekuwa hatuna hofu ya Mungu hata kidogo haya yaliyo na laana yumeyabariki.
 
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?
Hapo kwenye RED hako kabinti kalikua with au without? you know wat I mean here Mshiki!
 
Kabla ya kuwaauliza mababu wa huku, vp huyo babu yako uliongea chochote? na je huyo binti uliongea naye chochote zaidi ya kumuuliza miaka?
Hommie naona babu hataki kitu iliyoenda mileage laki tano, naona anachukua kitu kilichoenda mileage 7000.
 
Hivi hako kabinti kalikuwa kamewekewa bastola kichwani au kalikuwa kamefungwa kamba mikononi na miguuni?
 
Kabla ya kuwaauliza mababu wa huku, vp huyo babu yako uliongea chochote? na je huyo binti uliongea naye chochote zaidi ya kumuuliza miaka?

Kwa kweli kaka, kababu ka huku sijaongea na wala hajathubutu kukutana na uso wangu.
Naona atanitafutia kosa hilo ndo litafungua mlango wa kuongea na mimi.

Hata hivyo najiona bora nisingemuona manake, dah!!!
Haka kabinti bwana, sijakauliza sana, manake kalikuwa kamepaniki vibaya, nikakaacha tu kakaondoka.
Ila nimechukua namba yake ya simu, niangalie upepo unakwenda je kwanza halafu nitamtaufuta niongee naye.
 
Hapo kwenye RED hako kabinti kalikua with au without? you know wat I mean here Mshiki!

Hii itakuwa without manake, paniki yake ilikuwa mbaya sana, na imemchukua muda kutoka baada ya mimi, kuondoka zangu na kujibanza nje ya ofisi yangu. Dah nimejutia kuwahi kwangu leo!!!
 
" dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four"

LD......that is really sad. Lakini however much we blame these men, lets not forget kwamba TAMAA ndio inayowaponza hawa watoto!
She is aware that ur boss is almost like her babu yet she feels no shame in doing what you saw her doing with him!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom