mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,014
574
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
 
Kisa cha kuchakachuliwa na mbaba wa miaka 60 vijana hawapo??? Siwezi kukubali bana sio fair
 
Kweli MR lakini nataka kujua unamjibu nini? Fikiria hapo kababa labda ni kabosi, na kenyewe kana mitego yake, hasahasa mapesa na kanajua kujieleza haswaa.
 
hahahah,wanajichekeshaga 2,na tamaa walzonazo watapapalika,hapo hajaznguliwa kuwa atapewa ka-spacio,lazma akubali,hakuna jibu la kupnga
 
hapa ndio nnapokupendea hapa. Yaani wewe acha tu

Ndio Ivuga, kwa hali ya kawaida huwezi kumkubalia, lakini imagine ka vile unavyomtokea mdada, vile mnavyokua mnaongea, halafu chukulia labda hakutaki.

Kwa haka kababu utamjibu nini? Na yuko kwene mazingira yako daily. Eg ni boss.
 
Kweli MR lakini nataka kujua unamjibu nini? Fikiria hapo kababa labda ni kabosi, na kenyewe kana mitego yake, hasahasa mapesa na kanajua kujieleza haswaa.

Nitamjibu kiheshima tuu hapana babu SIDANGANYIKI!
 
Ndio Ivuga, kwa hali ya kawaida huwezi kumkubalia, lakini imagine ka vile unavyomtokea mdada, vile mnavyokua mnaongea, halafu chukulia labda hakutaki.

Kwa haka kababu utamjibu nini? Na yuko kwene mazingira yako daily. Eg ni boss.

hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga
 
hahahah,wanajichekeshaga 2,na tamaa walzonazo watapapalika,hapo hajaznguliwa kuwa atapewa ka-spacio,lazma akubali,hakuna jibu la kupnga

Kusema ukweli kuna wababa wanajua kusomesha, anakukaba haswaaaa, kila swali anajibu, kila jibu lako ana swali lake. Hivi unaepuka je hapa.
 
hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga

Sorry Ivuga, huyu ni bosi, na maisha ya kumaliza chuo unakaa kitaa huna ajira, Mungu saidia unapata mahali unajishikiza, bos ndo huyo. Hivi mpaka ufikirie Tamwa ni sa ngapi?? Huko ni mbali sana unajua?
 
Hudanganyika na nini? Am not your biological dady, and you are not a teeneger!! We ni mtu mzima.

issue ipo hivi? Labda hicho kibabu ni boss wako na umeshamkatalia na kaanza kukusumbua mara oo mara eee.. Mshahara umepunguzwa ..ufanisi wa kazi umeshuka yaani misukosuko kibao.. Na ukiangalia nyuma yako familia inayokutegemea kama mdundiko .. Mtoto wa nani sijui huko ..anko ..dada mama mkubwa wote wanakutolea macho let say
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Mshiki pole.

Jibaba gani hilo linakuzengea? Kwa kuwa ni wewe ngoja nikupe msaada.

Mwambie "ntakuthemea kwa kakaangu babu athipilini". Akiendelea kukuletea za kuleta mwambie akupe namba zake za simu halafu nitumie. Ila msiba ukitokea usiache kuja kuniwekea dhamana. Sawa dada? USIDANGANYIKE na FATAKI huyo!
 
Ha hahaaa...LD bana...pole kwa mkasa uliokupata!...
Kwanza umesema umri wa Mbaba, lakini hujataja umri wa anayetakwa...suppose mdada ana 40s, sioni shida na hilo, maana hapa JF wapo wadada wengi tu wa umri zaidi ya huo, na naogopa unaweza usipate responce nzuri kwa swali lako kutoka kwa baadhi ya watu....hahahahaa!
Nakusikiliza!
 
Hudanganyika na nini? Am not your biological dady, and you are not a teeneger!! We ni mtu mzima.

Bas nitamkubalia nimchune mpk mvi zake akome siku nyingine haha hahha hahahhaaaaaaaaaa
 
Mshiki pole.

Jibaba gani hilo linakuzengea? Kwa kuwa ni wewe ngoja nikupe msaada.

Mwambie "ntakuthemea kwa kakaangu babu athipilini". Akiendelea kukuletea za kuleta mwambie akupe namba zake za simu halafu nitumie. Ila msiba ukitokea usiache kuja kuniwekea dhamana. Sawa dada? USIDANGANYIKE na FATAKI huyo!

Acha tu msasha, sitaki kudanganyika kabisa babu, ila sasa unamjibu nini huyu baba. Manake unakuja kukuta solution ya mwisho ulonayo nikumkimbia na ukikimbia hata hela ya kupeleka CV mjini kwa ofisi fulani utakosa. Ha ha ha babu wewe.
 
Ha hahaaa...LD bana...pole kwa mkasa uliokupata!...
Kwanza umesema umri wa Mbaba, lakini hujataja umri wa anayetakwa...suppose mdada ana 40s, sioni shida na hilo, maana hapa JF wapo wadada wengi tu wa umri zaidi ya huo, na naogopa unaweza usipate responce nzuri kwa swali lako kutoka kwa baadhi ya watu....hahahahaa!
Nakusikiliza!

Asante the BM, umri wa muathirika ni hii age ya nimemaliza chuo natafuta kazi.
 
Je akija na Trip ya shopping Dubai ama Hong Kong, Ama anakuonesha Funguo za Plado zaidi Nyumba iliyokamilika kuhamia eneo zuri tu na iko full furnished hayo majibu bado utakuwa nayo? I mean vishawishi halisi na vya maana!! muwe wakweli!! sisemi habari za Lunch ama Dinner!! I mean real Stuff!!!
 
Back
Top Bottom