Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha.
Mwimbaji husika alitambulika kama animator / atalaku. Mnano miaka ya 1980’s mwashoni mtindo huu...
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao hiki nakipenda kutokana na utulivu wa kipekee aliotumia Oliver “NOLI” katika utunzi na uimbaji. Kibao...
Habari wadau !!
Leo tuingalie kibao cha mkali wa miondoko ya zouk afrika; Oliver N’Goma.
Nyimbo: Barre
Maana: Hapana/ Imetosha / Strongly No.
Kutoka: 1995
Album: Adia
Lugha: Lumbu ( Gabon)
Mwandaaji mkuu: Manu Lima
Label: Lusafrica.
Kibao hiki ni nambari nne ( 4 ) Katika album ya pili...
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao hiki nakipenda kutokana na utulivu wa kipekee aliotumia Oliver “NOLI” katika utunzi na uimbaji. Kibao...
Nyimbo: Icole
Maana: Shule (School)
Album: Bane
Kutolewa: 1990
Mtunzi: Oliver N’Goma
Mwandaaji / Producer: Manu Lima
Kibao hiki ni cha tatu katika Album yake ya Bane iliyotoka rasmi mwaka 1990.
Oliver “NOLI” anajaribu kuelezea mchango wa shule/elimu katika maisha yake mpaka hapo alipofikia...
Habari za muda huu wadau?
Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.