Oliver N’goma - NGE (Ujumbe kwa binti anayemgoja mwenzio wake)

Tonydigital

Senior Member
Oct 6, 2014
186
245
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao hiki nakipenda kutokana na utulivu wa kipekee aliotumia Oliver “NOLI” katika utunzi na uimbaji. Kibao hiki kinapatikana katika album yake ya pili “ADIA” iliyotoka mwaka 1995 ikiwa ni nyimbo namba tatu (3) katika album tajwa.

NOLI anelezea mkasa wa kimapenzi unaomhusu binti, japo ujumbe na contents zote za wimbo huu hutufika hata sisi wanaume. Hebu tutazame Oliver alikua anaongelea nini haswa!!

Nyimbo: Nge
Maana: Wewe (You)
Album: Adia
Kutolewa: 1995
Mtunzi: Oliver N’Goma
Mwandaaji: Manu Lima

Katika nyimbo hii Oliver anaeleza kuhusu mwanamke / binti ambaye amechoka kuwa kwenye mahusiano na wanaume ambao tayari wana mahusiano yao ya kudumu. Binti amechoshwa na anamwambia mwenza wake (ambaye bado hajampata) kuwa amechoka na anamsubiri ajitokeze kwani hawezi kuendelea na mapenzi ya utumwa.

Binti anahimiza kuwa yupo tayari kumgoja mahali popote pale na anatamani kuwa kwenye mahusiano yake ya kudumu (ndoa). Anamwomba Mungu amuonyeshe huyo mtu wake kwani amechoka kuvumilia kuendelea na kujihusisha na wapenzi wa wengine.

Nge = You

Why don’t you show yourself?
Because I love you,
Your heart is already taken,
Because I cannot see you?
What are you waiting to show me your face?
My heart please come

Where are you?
I’m waiting for you,
Show me your face,
Even in dreams,
Then I will know that one day I will see you in broad daylight

I will wait for you with hope and it is this hope will give new life, and that day,
My suffering will end,
The wounds of the heart will heal,
Now I refuse to love hearts already destined for others,
Now it is my heart that I wait
I refuse to be alone

IMG_0907.jpg

Nge

IMG_0906.jpg

IMG_0734.jpg

Manu Lima

Asante Oliver N’Goma kwa tunzi nzuri zenye ujumbe kwa vizazi vya wakati wote.

R.I.P “Noli” 23.03.1959 - 07.06.2010
 
View attachment 1901899
Nge

View attachment 1901901

View attachment 1901902
Manu Lima

Asante Oliver N’Goma kwa tunzi nzuri zenye ujumbe kwa vizazi vya wakati wote.

R.I.P “Noli” 23.03.1959 - 07.06.2010
Hee. Leo ndo nimejua maana ya huo wimbo wa nge.. na ninaupenda sana kuusikiliza kila mara duhhh.. asante mkuu.. Rest in Peace legendary Oliver Ngoma
 
Kuna nyimbo moja ili kuwa sound track ya picha ya kisouth africa hiyo ya nyuma , jamaa anachukua mali zote za kaka yake baada ya kufariki vilevile anataka kumrithi mke wa kaka yake ile nyimbo inavyoiwambwa kama "NOILA WE" Sijui nani anaifahamu
 
Ni Oliver mutukudzi. Inaitwa Nelia
 
Back
Top Bottom