TANZIA RIP Nono Monzuluku - Class Zaiko Langa Langa Grand Animator

Tonydigital

Senior Member
Oct 6, 2014
186
245
Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha.

Mwimbaji husika alitambulika kama animator / atalaku. Mnano miaka ya 1980’s mwashoni mtindo huu ulishika umaarufu na wasanii au kundi lililoweka alama lilikuwa ni Zaiko Langa Langa ambalo lilikua limepitia mabadiliko mengi lakini muda huo lilikuwa tayari chini ya “Mwamba” Nyoka Longo.

Kiungo maalum katika hii sehemu alikuwa anaitwa Nono Monzuluku / Ya Nono. Huyu ndiye alikuwa akiachiwa sehemu ya mwisho ya nyimbo ambapo atalaku / rapa na mpiga solo guitar waliachiwa utawala wao.

Nono Monzuluku / Emperor ndiye aliyekuwa muasisi wa atalakus alijiunga na Zaiko Langa Langa mwaka 1982 akiwa na miaka 22 tu. Baadaye bendi ( Zaiko) iliongeza atalaku rapa mwingine ( Doudou Adoula) miaka ya 1980’s katikati kuelekaa mwishoni.

Bendi hii ndio ilikuwa maarufu kwa kipindi kirefu zaidi na imetoa wasanii wengi wakubwa (leo siwataji) mpaka miaka ya 1990’s mwanzoni kuelekea katikati ambapo Wenge Bcbg ilipokuja kuteka / kutawala.

Binafsi navutiwa sana na upande wa sebene katika rhumba / soukous la Congo, binadamu wa kwanza kusherehesha hizi hisia / rhythm ni huyu rapa Nono Monzuluku. Sawa, binafsi album pendwa ya group hili ni Avis De Richerche / Wanted Poster iliyotoka mwaka 1995 humu kwenye vibao vyote nane (8) Ya Nono kahusika. Nyimbo yangu pendwa ni Nzete ya Mbila / Palm Tree sebene la humu ni noma kama sio balaa solo guitar la Roxy Tshimpaka .. kila kitu kimepangiliwa Sikiza rap ya bwana Nono pia kuna nyimbo nyingine kama Dede, Zekira, Molingano na Amour Suicade ambamo kiswahili kimeimbwa ni .

Mbali na kazi za group lake, anabakia kuwa moja wa atalakus aliyeshirikishwa katika kazi zingine nje ya kundi lake la Zaiko Langa Langa ! Projects ambazo nazikubali haswa??!! Dindo Yogo katika album ya Soo-Wa hususani kibao Sebene humu solo lilipigwa na Caien Madoka na Alain Makaba pia Damien Aziza katika Kinshasa Souvenir humu aliachiwa utawala yeye na soloist Beniko Pipolipo (hizi ni baadhi tu).

Ya Nono ni kati ya rappers / atalakus watano (5) ninaowakubali katika Congolese Music scene akishika namba mbili (2) baada ya 3615 Code Niawu / Cherry Niawu / Papa Na Renzo.

1. Code Niawu
2. Nono Monzuluku
3. Djuna Mumbafu
4.Roberto Ekokota
5.Doudoua Adoula

RIP 🪦 Nono Monzuluku 1960- 2024
IMG_4415.jpg

Soukous Forever!!
 
Zaiko ni moto sijawahi kuzichoka Nimbo zao, nakumbuka nilishawahi toroka kazini lubumbashi kwenda kinshasa kwenda kusikiliza mama mtuka mnene kangizela. ujana maji mojo.
 
View attachment 2869951
Soukous Forever!!
Hivi yule muimbaji aliyeimba Nyoka Longo wimbo wa Zekira anaitwa nani?
 
Da!Kumbe amefariki jamaa...unakumbuka pambano lake na Roberto Wunda Ekokota Wenge walipoimba pamoja na Zaiko?Jamaa alikimbizwa balaa!😀😀😀
 
Back
Top Bottom