Search results

  1. bwegebwege

    Shamba linatafutwa kuanzia Ekari 10 (Kibaha, Mlandizi, Bagamoyo)

    Habari zenu wakuu Tunatafuta shamba kwa ajili ya kufanya "urban farmimg" activities kama kulima mbogamboga, kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe wa kisasa etc. Sifa za shamba 1. Lisiwe mbali sana na miundombinu ya barabara (Morogoro Rd, Bagamoyo Rd/Bagamoyo-Msata Rd) 2. Mnunuzi angependa...
  2. bwegebwege

    Natafuta shamba maeneo ya Kibaha, Mkuranga na Bagamoyo

    Habari zanu, Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi Kama...
  3. bwegebwege

    Msaada: Natafuta injini ya Nissan Patrol (Turbocharged) 4.2L TD42T3

    Wadau, Mimi ni mpenzi wa Nissan. Natafuta hiyo Engine hapo juu (TURBOCHARGER SYSTEM NISSAN PATROL 4.2L TD42T3) DIESEL
  4. bwegebwege

    FUNDI MZURI WA TURBO - NISSAN PATROL

    Habari za weekend wakuu. Natafuta fundio mzuri wa kutengeneza Nissan Patrol ST kama iliyopo hapa chini, ni Auto 3000 cc, Diesel. Kwa anayemefahamu tafadhali DM.
  5. bwegebwege

    Naomba kuelimishwa juu ya sizes za viwanja (plots)

    Wakuu, habari za weekend. Naomba kuelimishwa kidogo: Hivi hadi kiwanja kiwe classified kama either LOW DENSITY, MEDIUM DESNITY au HIGH DENSITY kinatakiwa kuwa na VIPIMO (sqm) zipi? Napata wapi TABLE/SCHEDULE inayooonesha sizes mbalimbali za viwanja? Naombeni kuelimishwa
  6. bwegebwege

    NATAFAUTA ENEO LA KILIMO (SHAMBA) MAENEO YA KATI YA BAGAMOYO NA DAR ES SALAAM.

    WADAU. ANAYEFAHAMU MUUZAJI WA SHAMBA/PLOT KUANZIA EKARI 5 HADI 10 (au 20) MAENEO YA BAGAMOYO (KATI YA DAR NA BAGAMOYO) AU UMBALI MFUPI BAADA YA BAGAMOYO MJINI ANIJULISHE INBOX. PREFERRED: Eneo lenye hati Liwe karibu au limeshafikiwa na umeme Linalofaa kwa ufugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji...
  7. bwegebwege

    Nahitaji nguruwe, ng'ombe na mbuzi wa kisasa

    Habari za leo wakuu? Jamani mimi natarajia kuanza kilimo kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nguruwe pamoja na mbuzi wa kisasa (mbuzi wa maziwa). Naomba msaada wa ushauri na maelekezo kwa wazoefu kuhusu upatikanaji wake bei, masoko pamoja na masuala mengineyo yanayohusiana na ufugaji huu. Kama...
  8. bwegebwege

    Ndege (helicopter) iliyomuua mh. Filikunjombe ni ya Kalonzo Musyoka

    THE Eurocopter that crashed in Tanzania last week killing four occupants, including the captain and a general election candidate, belongs to former Vice President Kalonzo Musyoka. The Eurocopter AS 350B3 Ecureuil's Registration Number is 5Y-DKK5Y-DKK. It bore the manufacturer's Serial Number...
  9. bwegebwege

    Property manager - zek group international (1 post)

    CARRER OPPORTUNITY Property Manager About the Company ; ZEK Group International is a multinational corporation comprised of various companies across the African continent. Operating in a variety of industries including Media & Communications, Property...
  10. bwegebwege

    TOYOTA LANDCRUSER VX, 1996 MODEL, 4200cc, MANUAL, DIESEL FOR SALE (23 M)

    GARI INAUZWA KAMA ILIVYO - Inatembea, good working condition - Bei ni TSHS 23,000,000 au USD 15,000 (Maelewano yapo) - Dalali hatakiwi, mwenye gari anaongea mojakwamoja na mnunuzi - Kwa mawasiliano zaidi mtafute NYAUBAVI 0683299997 au ni-PM HAPA
  11. bwegebwege

    Chumba kinahitajika kuanzia august mosi (sinza, ubungo, shekilango, kijitonyama)

    Habari za kazi Binti wa kitanzania anatafuta chumba kwa ajiloi ya kupanga nyumba maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA, SHEKILANGO na UBUNGO. Bei kwa mwezi kuazia 50,000/= hadi 80,000 kwa mwezi kulingana na huduma iliyopo (choo, maji, umeme n.k)Mpangaji anatarajia kuanza kusihi makao mapya kuanzia...
  12. bwegebwege

    Toyota landcruiser vx (1996) & kodak picture kiosk (g4) vinauzwa

    PICTURE KIOSK, KODAK 0 G4. PRICE $5000.00au 8,500,000/= TOYOTA LANDCRUISER,1996, VX, 1HDT ENGINE, MMANUAL TRANSMISSON, DIESEL ENGINE. PRICE 19,000,000/= Maelewano yapo Anayehitaji Piga simu +255 683 299 997 uliza NYAUBAVI
  13. bwegebwege

    Zinauzwa Toyota Kluger (Highlander), Toyota VX(1996) na Kodak Photo Kiosk

    Habari zenu. Kwa anayehitaji gari mbili zinauzwa, zote zinatembea na ziko katika hali nzuri. Anayehitaji, au anayemfahamu mtu anayehitaji ani-pm hapa. Kluger ni 22m, maelewano yapo, Landcruiser ni 23m, maelewabo yapo. Kwa sababu za kiusalama sitaweka picha ila mwebte bia ataelekezwa...
  14. bwegebwege

    Nafasi za Kazi kwa Fresh Graduates

    Habari za kazi waungwana, Wanahitajika Management Trainees kujiunga na kamouni za A1 Outdoors Outdoor Ltd ( Dar es salaam –HQ) Sifa ya mowmbaji ni kwamba unatakiw akuwa kijana mchapakazi na alieyehitimu elimu ya chuo kikuu hivi karibuni. Maeneo ya mafunzo kwa vitendo na ajira yamelenga...
  15. bwegebwege

    Senior Housekeeping Supervisor

    Title: Senior Housekeeping Supervisor Gross Salary: 600,000 – 400,000 TSHS Working days: 7 days a week Responsibilities for the Position: • Assist the General Manager in leading and training the housekeeping team • Ensure that all guest rooms and guest areas are clean according to...
  16. bwegebwege

    Job Opportunity Business Development Manager - Arusha

    Please share.... CARRER OPPORTUNITY: BUSINESS DEVELOPMENT MANAGER Gemini Tours and Safaris Limited LOCATION: ARUSHA, TANZANIA POSITION DESCRIPTION: The Business Development Manager's role is very strategic and operational involves leading, directing and working with Gemini team to bring reach...
  17. bwegebwege

    Vituko vya riz'

    Status update ya Ridhiwani Kikwete FB.... "Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana. Kwanza kupoteza kada wa Chama Diaspora. Lakini kubwa zaidi nilipokuja gundua kuwa aliwahi niomba urafiki...
  18. bwegebwege

    Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

    Nimekuwa nikitafakari mwenendo wa baadhi ya viongozi wa CDM na haya matukio yaliyotokea recently kwenye chama hiki ambacho wengi tulikuwa tunakiona ni chama mbadala! Migogoro iliyopo sasa, na Zaidi, kubwa ni suala la kukosekana kwa demokrasia ndani ya CDM na ongezeko la vibaraka wasio na...
  19. bwegebwege

    Tundu Lissu na Gobless Lema ni wanasiasa?

    Nimekuwa nafuatilia sana siasa za mageuzi ya nchi yetu! SImfahamu sana Godbless Lema, lakini nilikiwa Arusha uchaguzi wa 2005, alishindwa kwa kura kadhaa,inaaminika kulikuwa na "zengwe", Mrema (kama sikosei, wa CCM akapita)....Hapo ndipo alipoibuka Godbless Lema! Kipindi kile hakuwa mtu...
  20. bwegebwege

    Nauza mbwa (pure german shepherd, female, miezi 8)

    Kwa anayehitaji ani-PM kwa melekezo na kumuona Bei ni rahisi sana, Tshs. 800,000/= (cash, one time payment) Mbwa ana chanjo zote, yupo healthy na mnunuzi atapatiwa kadi ya clinic. Asanteni
Back
Top Bottom