Natafuta shamba maeneo ya Kibaha, Mkuranga na Bagamoyo

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Habari zanu,

Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi

Kama kuna anayemfahamu muuzaji tafadhali tuwasiliane

Asante
 
Habari zanu,

Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi na siyo mbali na makazi ya watu.

Kama kuna anayemfahamu muuzaji tafadhali tuwasiliane kwa simu 0742299995

Asante
Offer yako kiasi gani kwa hekari moja?
 
Habari zanu,

Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi

Kama kuna anayemfahamu muuzaji tafadhali tuwasiliane kwa simu 0742299995

Asante
Njoo PM mkuu.
 
Unatafuta shamba sehemu zote hizo kwa mpigo au moja ya sehemu ulizotaja? Kiswahili gani hiki!
 
Habari zanu,

Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi

Kama kuna anayemfahamu muuzaji tafadhali tuwasiliane kwa simu 0742299995

Asante
Takucheki
 
Attachments

  • 20220725_190308.jpg
    20220725_190308.jpg
    71.6 KB · Views: 48
Habari zanu,

Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au karibu, eneo lisiwe mbali na barabara na miundombinu ya umeme, pawe panafikika kwa urahisi

Kama kuna anayemfahamu muuzaji tafadhali tuwasiliane

Asante
Mkuu karibu mimi ninazo ekari zaidi ya 40 zipo bagamoyo eneo linaitwa Fukayosi, call 0713909842
 
Back
Top Bottom