Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Nimekuwa nikitafakari mwenendo wa baadhi ya viongozi wa CDM na haya matukio yaliyotokea recently kwenye chama hiki ambacho wengi tulikuwa tunakiona ni chama mbadala! Migogoro iliyopo sasa, na Zaidi, kubwa ni suala la kukosekana kwa demokrasia ndani ya CDM na ongezeko la vibaraka wasio na ushawishi wala weledi wa masuala uchumi, maendeleo, siasa za ndani na za kimataifa kutasababisha CDM iporomoke Zaidi na ikose mvuto mbele ya wapiga kura!

Si hayo tu, wakati tunajiaandaa na uchaguzi mkuu mwakani, ni dhahiri CDM haitakuwa na nafasi ya kutosha kurekebisha hali ya mambo ndani ya chama na kupata nafasi ya kuunda timu ya ushindi 2015! Tukutane baada ya uchaguzi 2015, lakini kwa sasa naona wabunge wafuatao watapoteza viti vyao:-

1. John Mnyika – kaishiwa sera, hana tena mvuto Ubungo, hasa hili la kukosa msimamo
2. Godbless Lema – controversial politician, anapenda vurugu ambazo zimesababisha wafuasi na wanachama wengi wa CDM na wananchi wa kawaida kupoteza maisha au kupata vilema vya kudumu kutokana na ushauri na ushawishi wake wa kutumia maandamano na ghasia dhidi ya vyombo vya dola…watanzania wameshtuka, Arush ahawatamuunga mkono
3. Peter Msigwa – amejitahidi kuongea akiwa bungeni, lakini kujiingiza kwenye mgogoro na Zitto, na kuendelea na mapambano dhoidi ya ZK hata wakati amesimamishwa kumemshushia hadhi! Haonekani kama ana jipya, hana uwezo wa kupata info kama ZK, who was a think tank of CDM!
4. Halima Mdee – Amekuwa kimy akwa muda mrefu, tumesikia pi amalalamiko ya wapig akura wa Kawe, Zaidi jimbo hilo sasa linatamaniwa na Kiongozi wa NCCR-Mageuzi, nab ado mama Ritha anaklitaka! Kuna habari pia Mchungaji Rwakatare anajipanga kugombea….ni wazi Halima hatakuwa na chake
5. Tundu Lissu – Hadi Raisi alimwit ani muongo mbele ya halaiki! Ni aibu. Pia huu mgogoro wa Zitto na CDM amekuwa akiishauri vibaya CDM, haonekani kama ana elewa vizuri siasa; huyu ni activist, not politician! Kule Singida kwao watamtupilia mbali…

Hawa ni wabunge mashuhuri wa CDM, wakitupwa nje ya ulingo hao na CDM inapoteza umaarufu Zaidi hata ya TLP! Hapo bado kun ahatihati kwa kina Nasari,

Tusubiri tuone
 
Asnte kwa utabili wako Sheikh/ mchungaji na Nabii Bwegebwege, ila nakuonya wananchi tunahasira vitu vimepanda bei hafu utushawishi tukakipigie kura chama chakavu Lo! Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa maana mtaiba lakini hamfiki 65% ya idadi ya wenyeviti nchi nzima
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwa kuwa akina komba ni wachapakazi sana!!
 
Tafuta blanketi ujifunike ulale fofofo. Hizo ni ndoto za mchana na hiyo tafakari yako ni kielelezo cha hofu na nashaka mliyonayo watu wa CCM. Je anguko la wabunge wa CHADEMA kutaleta unafuu wowote kwa wananchi?
Tuliambiwa maisha borakwa kila mtanzania na leo tunaona gharama ya umeme juu, watumishio wa serikali mpaka leo hii hawajalipwa mishahara ya ya mwezi Desemba, hiyo kauli dhidi ya Lissu kisaikolojia tunaihesabu kama hofu na woga wa kisiasa mbele ya umma ni kujisalimisha self consolation kama hii ya kwako ni self consolation,
 
Nimetabiri, tusubiri 2015! Nafuata ushauri wako, nalala for now
 
Asnte kwa utabili wako Sheikh/ mchungaji na Nabii Bwegebwege, ila nakuonya wananchi tunahasira vitu vimepanda bei hafu utushawishi tukakipigie kura chama chakavu Lo! Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa maana mtaiba lakini hamfiki 65% ya idadi ya wenyeviti nchi nzima

Basi kama hatuwapigii kura CCM haya mchagueni Tundu Lissu awe Rais! Mbowe na timu yake hawana mpya, niamini! Na yeye anafahamu hilo! He is TOTAL FAILURE
 
Kweli wewe ni gebwe gebwe bin Zuzu Zombi. Hata kuandika kwako ni tatizo jingine kubwa kuliko hata tatizo la kupanda kwa bei ya umeme nchini.
 
Toa hoja yako nikuone kuwa wewe ni mweledi!Hujasema kitu, unaonekana ni typical wale wafuasi wanaoburuzwa bila kujua nini wanafanya!
 
Nimetabiri, tusubiri 2015! Nafuata ushauri wako, nalala for now

Hayo unayotwambia yanaonyesha kitu tunachokiita Frustrations ndani ya CCM. Nina hakika wakubwa wako wanajua kinachoendelea ndiyo maana dola inatumia nguvu kubwa kuidhibiti CHADEMA na wakati mwingine kutumia hata vyombo nyeti kuwahujumu,, Tunachojua na hasa kwa kauli za wenye hekima zao waliwahi kusema usiombe watu wakakuchoka uwapo kwenye utawala, wako tayari kumchagua hata mwendawazimu kuliko wewe ambaye watu waliokuchoka. Ebu tafakari tena kampeni na mbinu chafu zilizotumiwa na CCM wakati wa kukusanya maoni ya Katiba mpya, ili waseme serikali mbili lakini kinyume chake Tume imewaonyesha waziwazi kwamba watu wanataka serikali tatu.

Nakushukuru kwa kukubali kutafuta Blanketi ulale maana hatutumii Utabiri katika kusema mambo makubwa, ebu tafakari namna CCM inavyotumia raslimali zetu hovyo bila kuondoa umaskini, wameshindwa hata kuwa na hospitali ya kuwahudumia viongozi wa kitaifa, kila leo wako India,South Africa hata USA. Nani katuloga Tanzania CHANGES ARE INEVITABLE.
 
CDM hawana uwezo wa kupata hata hiyo 25% ya Serikali za Mitaa! Tena hapo nimewapendelea...

Asnte kwa utabili wako Sheikh/ mchungaji na Nabii Bwegebwege, ila nakuonya wananchi tunahasira vitu vimepanda bei hafu utushawishi tukakipigie kura chama chakavu Lo! Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa maana mtaiba lakini hamfiki 65% ya idadi ya wenyeviti nchi nzima
 
Seriously? Changes are inevitable? If that is the case why CDM is not ready for changes within the party? And what are they preaching?

Hayo unayotwambia yanaonyesha kitu tunachokiita Frustrations ndani ya CCM. Nina hakika wakubwa wako wanajua kinachoendelea ndiyo maana dola inatumia nguvu kubwa kuidhibiti CHADEMA na wakati mwingine kutumia hata vyombo nyeti kuwahujumu,, Tunachojua na hasa kwa kauli za wenye hekima zao waliwahi kusema usiombe watu wakakuchoka uwapo kwenye utawala, wako tayari kumchagua hata mwendawazimu kuliko wewe ambaye watu waliokuchoka. Ebu tafakari tena kampeni na mbinu chafu zilizotumiwa na CCM wakati wa kukusanya maoni ya Katiba mpya, ili waseme serikali mbili lakini kinyume chake Tume imewaonyesha waziwazi kwamba watu wanataka serikali tatu.

Nakushukuru kwa kukubali kutafuta Blanketi ulale maana hatutumii Utabiri katika kusema mambo makubwa, ebu tafakari namna CCM inavyotumia raslimali zetu hovyo bila kuondoa umaskini, wameshindwa hata kuwa na hospitali ya kuwahudumia viongozi wa kitaifa, kila leo wako India,South Africa hata USA. Nani katuloga Tanzania CHANGES ARE INEVITABLE.
 
Basi kama hatuwapigii kura CCM haya mchagueni Tundu Lissu awe Rais! Mbowe na timu yake hawana mpya, niamini! Na yeye anafahamu hilo! He is TOTAL FAILURE

Ingawa sina chama lakini Tundu Lisu ni balaa, hata huku vijijini wakati wa Bunge wananchi huwa wanaulizia Tundu Lisu anaongea saa ngapi? Ujue ni jinsi gani wananchi wanamkubali, ZZK anapenda umaarufu hafu anashindwa kuziendeleza hoja anazoibua mfano, Buzwagi ikafa, Dowans Ikafa na yasasa Mapesa ya Uswis kwisha kazi, hana jipya huyo kijana
 
CDM hawana uwezo wa kupata hata hiyo 25% ya Serikali za Mitaa! Tena hapo nimewapendelea...

Kama wewe ndo uanyepiga Kura tatizo lenu mnafanya analysis za kwenye mitandao, mi niko kijijni lakini maeneo ya huku watu hawatapiga kura CCM na watampigia mgombe yoyote upinzani wamechoka na ulaghai kila mwaka bidhaa zinapanda bei ndo mnatudanganya kuwa ndiyo maisha bora ka kila mtanzania lo!
 
Hii sacos ya chadema imeshakwisha haina nafasi tena kwenye hii dunia kwa ujumla.
 
Ingawa sina chama lakini Tundu Lisu ni balaa, hata huku vijijini wakati wa Bunge wananchi huwa wanaulizia Tundu Lisu anaongea saa ngapi? Ujue ni jinsi gani wananchi wanamkubali, ZZK anapenda umaarufu hafu anashindwa kuziendeleza hoja anazoibua mfano, Buzwagi ikafa, Dowans Ikafa na yasasa Mapesa ya Uswis kwisha kazi, hana jipya huyo kijana
Watu wanataka maendeleo siyo maneno maneno hata kariakoo mengi.
 
Kama wewe ndo uanyepiga Kura tatizo lenu mnafanya analysis za kwenye mitandao, mi niko kijijni lakini maeneo ya huku watu hawatapiga kura CCM na watampigia mgombe yoyote upinzani wamechoka na ulaghai kila mwaka bidhaa zinapanda bei ndo mnatudanganya kuwa ndiyo maisha bora ka kila mtanzania lo!

Na mimi nippo kijijini pia; tofauti ya vijiji vingi nilivyopita, pamoja na mjini, wengi wanaona CDM SACCOS siyo mkombozi wa watanzania! Na wewe unalijua hili! Anguko la CDM linakuja, jiweke tayari!
 
Ingawa sina chama lakini Tundu Lisu ni balaa, hata huku vijijini wakati wa Bunge wananchi huwa wanaulizia Tundu Lisu anaongea saa ngapi? Ujue ni jinsi gani wananchi wanamkubali, ZZK anapenda umaarufu hafu anashindwa kuziendeleza hoja anazoibua mfano, Buzwagi ikafa, Dowans Ikafa na yasasa Mapesa ya Uswis kwisha kazi, hana jipya huyo kijana

Natamani nihudhurie hiyo mikutano ya LISSU (huko vijijini anakosifiwa)! Lakini ukweli uko wazi, he is useless! Nikuhakikishie tu kwamba Lissu harudi Bungeni 2015
 
Mimi naimeweka utabiri wangu; huo wa Wasira kwa nini asiulizwe yeye? Kwanz ahat asijui alitabiri nini...Mvua??

utabiri wake na wako unalandana,tofauti ya utabiri wako na wake ni kwamba utabiri wake ukitimia wako hauitajiki!
 
Back
Top Bottom