Tundu Lissu na Gobless Lema ni wanasiasa?

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Nimekuwa nafuatilia sana siasa za mageuzi ya nchi yetu!

SImfahamu sana Godbless Lema, lakini nilikiwa Arusha uchaguzi wa 2005, alishindwa kwa kura kadhaa,inaaminika kulikuwa na "zengwe", Mrema (kama sikosei, wa CCM akapita)....Hapo ndipo alipoibuka Godbless Lema! Kipindi kile hakuwa mtu mwenye vurugu kama nimjuaye leo.....

Tundu Lissu, nilikuwa namfahamu akiwa anatetea haki za watanganyika, mambo ya ardhi n.k, amekuwa mwanaharakati makini, amehudhuria na kutoa mada mbalimbali katika majukwaa ya kuelimisha umma n.k Kiukweli nilikuwa namuona ni msomi makini na mwerevu1

Hawa wanasiasa wawili wanafanana sana namna walivyoingia na kupat aumaarufu kwenye siasa...Tundu Lissu, na Godbless Lema wote wakaibuk atena 2010 kwa kushinda viti vya ubunge...wot ekwa mbinde!

Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia sana yanayotokea CDM, hawa jamaa wawili wapo katika usukani wa sakata lilnaloendelea CDM; Tundu Lissu (eti mwanasheria wa CDM) ametangaza kuwa "ZITO KABWE, MKUMBO NA M.KITI ARUSHA" eti "WAMEFUKUZWA"???

Godbless Lema ndiye mpika majungu wa M1, M2, M3 etc...waraka ambao hata uongozi wa CDM umesema hautambui!!

Sasa kama uongozi hauutambui huo waraka kina ZZK wamefukuzwaje?

Je CC ina mamlaka ya "kumfukuza" mwanachama? ama ni Baraza Kuu?

Mimi naona, CDM inakwisha, INAKUFA! WHY? Kwa sababu wanatumia siasa za majitaka za Lissu na Lema...na wengine wachache! Hata watu makini kama Mnyika na Kamanda Mbowe wanashawishika na siasa hizi?

CDM 2015 itrapoteza sana voti Bungeni, na what I see MBOWE, LEMA, LISSU, MNYIKA na MDEE watapoteza nafasi zao Bungeni.

CDM inapoteza muelekeo kwa kuwa imealika watu kwenye madaraka AMBAO SIYO WANASIASA!
 
Niliwahi kusikia Lisu ni muajiriwa wa TISS na pale CHADEMA yupo kwa kazi maalumu, sasa sijui ni kweli au watu wanazusha tu...
 
Magamba mwaka huu mna kazi! Uharo huu nao unasubiri kulipwa buku 7!
 
Kuvuliwa nyadhifa zote ZZK kuna watu hawaamini kabisa kilichotokea.
Mpaka mtakapoukubali ukweli kuwa ZZK ni Mwanachama wa Kawaida kabisaa wa CDM mtakuwa mmekonda kabisa
 
kwani km ni wana siasa au siyo ..kinakuwasha nini?Wapo ktk sehemu sahihi ,muda sahihi na wanafanya vitu sahihi ndio maana wapo hapo.
 
Nimekuwa nafuatilia sana siasa za mageuzi ya nchi yetu!

SImfahamu sana Godbless Lema, lakini nilikiwa Arusha uchaguzi wa 2005, alishindwa kwa kura kadhaa,inaaminika kulikuwa na "zengwe", Mrema (kama sikosei, wa CCM akapita)....Hapo ndipo alipoibuka Godbless Lema! Kipindi kile hakuwa mtu mwenye vurugu kama nimjuaye leo.....

Je CC ina mamlaka ya "kumfukuza" mwanachama? ama ni Baraza Kuu?

Mimi naona, CDM inakwisha, INAKUFA! WHY? Kwa sababu wanatumia siasa za majitaka za Lissu na Lema...na wengine wachache! Hata watu makini kama Mnyika na Kamanda Mbowe wanashawishika na siasa hizi?

CDM 2015 itrapoteza sana voti Bungeni, na what I see MBOWE, LEMA, LISSU, MNYIKA na MDEE watapoteza nafasi zao Bungeni.

CDM inapoteza muelekeo kwa kuwa imealika watu kwenye madaraka AMBAO SIYO WANASIASA!

We kweli ni -----,hata mtoto wa miaka 10 anaweza kusema anafuatilia siasa za Tanzania na akatoa maoni kama ya kwako.
 
Mnyika anasema waraka ni feki, lakini Lissu ananukuu vipengele vya waraka huo!!!
Lazima mwanasheria wetu mkuu wa cdm anukuu vipengele vyenu magamba. Mwaka huu magamba lazima mjinyee.
 
Chadema kwishney..finito...ZZK wakati muafaka sasa kujiunga na CUF.
 
chadema kuukana huo waraka ni kujihami kwani unawaumbua sana. Wengi waliofata mkumbo kabla ya kuusoma wamebadilisha mawazo yao kwa uongozi uliopo madarakani baada ya kuusoma.

Nimewauliza magwanda humu, hebu tuwekeeni kimoja toka kwenye huo waraka ambacho kimeashiria kuidhoofisha chadema lakini mpaka sasa hakuna aliyekuja na jibu.

Chadema ni chama cha kilaghai - Courtesy ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:

wewe kiajuza cha sido usitufundishe ujinga, kamuulize mkumbo na mme kuwa barua zimeanfikwa makosa gani..
 
Last edited by a moderator:
chadema kuukana huo waraka ni kujihami kwani unawaumbua sana. Wengi waliofata mkumbo kabla ya kuusoma wamebadilisha mawazo yao kwa uongozi uliopo madarakani baada ya kuusoma.

Nimewauliza magwanda humu, hebu tuwekeeni kimoja toka kwenye huo waraka ambacho kimeashiria kuidhoofisha chadema lakini mpaka sasa hakuna aliyekuja na jibu.

Chadema ni chama cha kilaghai - Courtesy ZeMarcopolo
Bibi kwanini msimchukue zitto akawa mwenyekiti wa ccm badala ya jakaya mrisho kikwete?
 
Nyie mnaopondwa kufukuzwa Zitto halafu sio wanachama wa CDM ni wafuasi watiifu wa CCM. Kinawahusu nini? Msiwasemee wananchi huku mtaani kila mtu anaunga mkono kufukuzwa kwa Zitto. CCM wote ndo mnapata shida juu ya kufukuzwa Zitto kuna nn hapo si mumchukue moja kwa moja kibaraka wenu?
 
Back
Top Bottom