Search results

  1. Lancashire

    Rais Samia kaza Roho usikubali kuyumbishwa, wananchi tuna imani na Uongozi wako

    Habari za jumatatu Mh. Rais Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na watu hao kwasababu ukiyumba wewe kama kiongozi wetu na sisi wananchi tutapoteza mwelekeo. Kama...
  2. Lancashire

    Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Hamna moto wowote upinzani hawajajipanga tu.
  3. Lancashire

    Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Rais Samia aendelee kuungwa mkono. Hana tamaa ya kujilimbikizia mali ya umma.
  4. Lancashire

    Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums. Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
  5. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    TEC wajisahihishe siyo kosa kukiri madhaifu ili kuweka record sawa. Watanzania watajiuliza maswali ya msingi ambayo kama hayatapatiwa majawabu basi ni wazi TEC siyo chombo cha kidini bali ni genge la wafanyabiashara na matamko yao yatadharauliwa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Naomba...
  6. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Lakini TEC haipaswi kuchukua udhaifu wa kiongozi aliyekuwepo madarakani kujiingiza kwenye scandal kupitia Benki ya kanisa na kwa baadhi ya maaskofu wake kupokea fedha hizo ambazo zina harufu kubwa ya ufisadi na rushwa na hawakuwahi kulitolea tamko lolote . Ndio tunauliza utashi huu wanaupata...
  7. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Naona kijana ana munkari sana
  8. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Mbona unaonekana kama una "stress " be calm little boy.
  9. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Nipo kaka majukumu yamekuwa mengi huwa napita kama msomaji mara kwa mara. Nakumbuka sana suala hili lilipita kama msiba mzito sana Siyo TEC wala kadinali mkuu wa katoliki aliyetoa neno kuhusu Benki ya kanisa katoliki mkombozi ilivyotumika kuhifadhi na kulipa mabilioni ya shilingi fedha za walipa...
  10. Lancashire

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule...
  11. Lancashire

    Thefirstgroup:Kampuni kubwa Dubai ya uendelezaji majengo inawaalika Dodoma tarehe 14 hadi 15 Julai

    Watanzania ni wazito sana kufuatilia masuala muhimu kama haya. Siasa zinaiharibu nchi hii tukija kushtuka ni lawama na kelele kwamba uchumi unashikwa na wageni. Tutake au tusitake dunia ya leo ukitaka kuendelea lazima sekta binafsi iingilie kati tena kwa ujazo mkubwa. Siku hizi JF imekua kijiwe...
  12. Lancashire

    Tathmini uchaguzi wajumbe wa NEC Taifa. Shilole na wenzio jipangeni nafasi za juu zinahitaji CV

    Uongozi ni experience .msukuma ameongoza geita zaidi ya miaka 10 angekua mjingamjinga wangeshamtosa.
  13. Lancashire

    Tathmini uchaguzi wajumbe wa NEC Taifa. Shilole na wenzio jipangeni nafasi za juu zinahitaji CV

    Mwijaku anajiita mh DC na tusishangae jina lake likaja kwenye mabadiliko haya yanayokuja.
  14. Lancashire

    Tathmini uchaguzi wajumbe wa NEC Taifa. Shilole na wenzio jipangeni nafasi za juu zinahitaji CV

    Mtu anaitwa shafii daud hatuna historia ya kuwa hata mjumbe wa nyumba 10 leo anataka akamchaguwe rais wa nchi
  15. Lancashire

    Tathmini uchaguzi wajumbe wa NEC Taifa. Shilole na wenzio jipangeni nafasi za juu zinahitaji CV

    Inawezekana tusiposhtuka mapema .waanzie angalau kwenye udiwani huko mashinani.
  16. Lancashire

    Tathmini uchaguzi wajumbe wa NEC Taifa. Shilole na wenzio jipangeni nafasi za juu zinahitaji CV

    Habari za weekend! Nimefuatilia pia nimefurahi mmejitokeza wana CCM wengi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama.ni jambo jema. Katika nafasi 20 za NEC taifa nimeona majina mengi ya watu maarufu ( maarufu mitandaoni) kuwania nafasi hizo siyo vibaya ila ushauri wangu jijengeeni...
  17. Lancashire

    Ushauri: Serikali binafsisha haraka sana Bandari na BRT, watanzania tunaiba sana

    Tuna kituo cha uwekezaji na wizara maalumu kwajili ya uwekezaji ndio kazi zao hizi.
Back
Top Bottom