Wasalamu waTz.
Ulimwengu wa Compact Disk al maarufu CD ni kama umepitwa na wakati kutokana na ukuaji wa teknolojia.
Kwa sasa kuna namna mbali mbali ambazo ni rahisi na salama ya kuhifadhi mafile mbali mbali kama ilivyo kwenye CD.
Kuna kazi (album) ya kwaya ya RC itafanyika hivyo twataka...
Arusha.
Kumetokea kamata kamata ya watu isipokua wazee, wenye ujauzito, vilema, na watoto u-18, wakacheze mgambo kwa lazima huko namanga mpaka wa tz na ke.
Je, ni sahihi kwenye hili?
Je, ni kwa Tz nzima? kama ndio je sehemu zingine wameanza au muda bado?
Je, mamlaka haya ni kutokea wapi na kwa...
Wasalam ndugu zangu wa Tz na waafrika wenzangu.
Nimesoma kuhusu NAFSI ambayo ni pumzi aliyopuliza Mungu kwa mujibu biblia kwetu sisi watu.
Nimekuja kwenu kupata ufahamu zaidi kuhusu NAFSI.
1. Je, inawezekana kweli binadamu kukosa NAFSI na akawa anaishi? Au 2. Nafsi inaweza kufungwa na...
Kwenu wanabodi.
Msaada. Ninatamani kuongeza maarifa bila kujali ajira (sina hitaji hili) kwa kusomea saikolojia teolojia na falsafa hasa hasa online, hata short course (kama ipo).
Kama ipo kwa level ya degree, kama ninavyoelewa mimi ni sawa. Ni vipi naweza kuyapata maarifa haya? Ndilo ombi...
Ndugu wana Jamuhuri ya Muungano,
Kwa mnaotumia halotel limewakuta hili?
Wiki iliyopita mpaka hii tuliyopo kuna uhuni halotel wanaufanya. Unajiunga GB 1 ndani ya dakika 30-60 unapata na huu ujumbe;
Mpendwa mteja! Umemaliza kifurushi chako cha intaneti. Kuendelea kutumia intaneti jiunge tena...
Rais atakayefanya haya huenda atakuwa rais wa pili kuandikwa sana kwenye historia ya Tanzania.
MPANGO YA MUDA MREFU
1. Kuwekeza kwenye teknolojia kuanzia shule za msingi. Hapa ni masomo yanayojipambanua kiteknolojia (sio programme/course).
2. Kuweka somo la Sheria kuanzia shule za misingi na...
Kujifunza chini ya mwembe tabu jamani mwisho saa sita ila sio sababu ya kutofanya vizuri.
Msaada wenu wa *Tense* na Lugha kwa ujumla. Najaribu kupitia mitandao kuhusu *tense* ila napata changamoto Kwenye nyakati
kwa kukosa mwelekezi...
Ali kwenye. LI
Ame kwenye ME
Ana kwenye NA
At a kwenye...
Messi ni mchezaji mashuhuri awapo uwanjani.Ni aina ya mchezaji aliyejaaliwa kila kitu katika Ufundi,unyumbulifu wa Mpira.
Nyuma ya pazia kwa hivi karibu Messi amekutwa na shitaka na ukwepaji Kodi,takribani dola za kimarekani millioni 4.5,kwa kupeleka mali hizo kwenye visiwa visivyolipa kodi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.