The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,157
- 10,142
Messi ni mchezaji mashuhuri awapo uwanjani.Ni aina ya mchezaji aliyejaaliwa kila kitu katika Ufundi,unyumbulifu wa Mpira.
Nyuma ya pazia kwa hivi karibu Messi amekutwa na shitaka na ukwepaji Kodi,takribani dola za kimarekani millioni 4.5,kwa kupeleka mali hizo kwenye visiwa visivyolipa kodi vya BELIZE & URUGUAY.
Alhamisi ya tarehe 2/6/2016 Messi pamoja na baba yake Jorge watafikishwa mahakamani kujibu shtaka hili la kuficha haki miliki ya sura ya Messi,imetabanaishwa na mamlaka ya ushuru nchini uhispania...
Mshitaki ambaye ni mamlaka hiyo ya ushuru nchini humo,inataka washtakiwa hao wafungwe badala ya faini ili iwe fundisho...!!!