Tujiulize, Katiba tiba ya maadili yetu?
Na January Makamba
Posted Jumatatu,Oktoba14 2013 saa 12:54 PM. Tujiulize, Katiba tiba ya maadili yetu? - Habari - mwananchi.co.tz
Mwaka 1986, nikiwa na umri wa miaka 12, nilipanga mstari nje ya ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya...
Ili kuepuka kuvurugana na kupoteza amani kutoka na viashiria kwamba Mchakato wa katiba hautatengemaa. Naona CCM waige mfano wa chama kikuu cha Upinzani (Chadema) na kusogeza uchaguzi mkuu uwe 2017.
Naomba kuwasilisha hoja.
Kazi ni kwenu Wadanganyika. Chagueni kwa makini sana mkiingia kwenye chumba cha kupigia kura. Mzungu alitufanya watumwa na kutukoloni kwa miaka mingi sana. Mchina kidoogo kajenga uwanja wa Taifa, bandari ya bagamoyo, daraja la kigamboni.
Mkwawa na Kinjekitile watakuwa wanazunguka kwenye...
TImes in the Presidency: No Cereals Mistakes
In April 2009, the King of Saudi Arabia, King Abdullah, invited the President Kikwete for a visit.
As an aide and speechwriter I was part of the visit and attended meetings as a note-taker. The President arrived in Riyadh around 6pm. Normally, the...
Katika hatua inayoashiria kuchoshwa na utekelezaji usioridhisha wa miradi, Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, January Makamba amekataa kuupokea mradi wa maji uliojengwa katika Halmashauri Mpya ya Bumbuli kutokana na kile alichokieleza kuwa umejengwa chini ya kiwango.
Akizungumza na...
Fruit, vegetable factory revived
Monday, 04 February 2013 10:31By George Sembony, The Citizen CorrespondentLushoto.
The Bumbuli Development Corporation (BDC) has revived a fruit and vegetable canning and water bottling and marketing company in Maweni, Lushoto, to boost industrial...
March 15, 2011
Avenging Altar Boy
By MAUREEN DOWD Off Todays NYTimes.
PHILADELPHIA
The district attorney is burning a eucalyptus-spearmint candle on his desk.
"I think the press looks down upon the D.A. drinking Jack Daniels during the day," R. Seth Williams says with a broad smile, "so I...
Off Mwananchi
RAIS Jakaya Kikwete jana alilihutubia taifa, huku akitumia muda mwingi kujibu mapigo ya kauli za Chadema dhidi yake na kutahadharisha kuwa chama hicho, kina lengo la kuleta machafuko nchini."Kauli na vitendo vya wenzetu hao vyenye dhamira ya kutaka kuleta machafuko makubwa na...
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.
Imeandikwa na: THE GUARDIAN
Dominic Nkolimwa
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs...
Mheshimiwa Halima James Mdee;
Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga...
They have been running the country since 1961. Making them responsible for uchumi wa nchi na maendelo ya taifa. Hali ya mTanzania wa kawaida hairidhishi sana, bado kuna umasikini. Na pia kuna institutional corruption through all the cadres of our beloved state. Obviously, there are other reasons...
Kabla ya viti maalum. Bunge la Jamhuri (yes ukichanganya na Zanzibar) kutakuwa na wapinzani between 80-90. Ukiongeza na vitu maalum, lazima tukubali kwamba litakuwa bunge la ukweli.
Jakaya is expected to win by low 60 percintile. Kuanzia 60-65%.
Habari ndio hiyo. Amani na utulivu jamani...
Off Reuters.
At least this one seems independent. Kusoma Uhuru/Mzalendo/Tanzania Daima/Raia Mwema/Mwananchi/Mtanzania/Rai, Unaweza kupata pressure za bure. Wajinga wanapendelea waziwazi with no ethical journalism.
Chini angalieni inflation rate. Naona humu ndani tulikuwa tunadanganyana sana...
Wana Chadema wanajifanya wako pure sana. Pretending to be the ushers of new dawn of transparency and utawala bora (Although they can't even balance budget ya chama).
Sasa muulizeni dada yenu Halima Mdee, kufanya mikutano ya siri usiku huko Madale, na kumuhonga (kutoa rushwa) kwa mwenyekiti...
Tarishi Hauwawi.
Election Campaigns and Politics of Performance
For some obvious reasons I am not a fan of election campaigns. I dont like attending or analyzing them. To me leaders emerge they dont sell themselves in the market place.
However, a video clip that is circulating online...
Off Daily News (http://nyerere.dailynews.co.tz/news.php?id=9)
Source: MOHAMED SAID; 14th October 2009 @01:17
IT is a pity that the late Mwalimu Julius Nyerere did not reveal much about his early life in Dar es Salaam of the 1950s, where he came to as a budding 30-year-old politician fresh...
Tuanze kwa kukushukuru kwa kukubali kuzungumza na blog yetu. Karibu sana!
Nashukuru kwa fursa hii. Hii ni mara yangu ya kwanza kabisa kufanya interview. Lakini nimekubali kufanya hii kwa sababu tatu:
1. Mo ni rafiki yangu na nimefurahi kwamba ameamua kuanzisha blog. Aliponieleza nia yake...
Naomba mniwie radhi wadau na waungwana kwa kuvamia jukwaa, ila nina usongo sana na album ya mpya ya Twanga (mtaa wa kwanza). Mlioko nyumbani mtusaidie jamani hata singo ya kwanza mtuwekee hewani.
Youtube it, au megaupload, rapidshare.com..vyovyote vile wazee tuweze kuila mtaa wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.