Chadema (Mbowe): We recognise the president

Selemani

JF-Expert Member
Aug 26, 2006
890
250
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.

Imeandikwa na: THE GUARDIAN

Dominic Nkolimwa

Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.

"There is misinterpretation of facts regarding our stand…people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament," said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.

"The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we don't recognise the president and his government," added Mbowe.

The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).

He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.

"We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures," said Mbowe.

He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.

"I am wondering where this myth came from. If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.

He said people confused Chadema's stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.

"
We can't reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech," said Mbowe, insisting: "the walkout did not violate any law."

He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.

"MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika
(Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. It's not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout…it's not true that some MPs rejected the decision," said Mbowe.

"In short, it was a decision reached
by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)

Mbowe, reaffirmed the party's stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.

Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.

The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, that's the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.

"You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election," local media quoted Mbowe.

MAONI YANGU:

I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,070
0
"WATARUDI"

Tena naona Mkuu wa Chadema ameufyata (apologetic). Duhh.

Raisi ni nani? Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,670
2,000
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.

Dominic Nkolimwa
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.

"There is misinterpretation of facts regarding our stand…people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament," said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.
"The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we don't recognise the president and his government," added Mbowe.
The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).

He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.
"We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures," said Mbowe.
He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.
"I am wondering where this myth came from. If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.
He said people confused Chadema's stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.

"We can't reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech," said Mbowe, insisting: "the walkout did not violate any law."

He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.
"MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika (Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. It's not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout…it's not true that some MPs rejected the decision," said Mbowe.

"In short, it was a decision reached by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)
Mbowe, reaffirmed the party's stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.
Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.

The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, that's the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.

"You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election," local media quoted Mbowe.
THE GUARDIAN

I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.

Mawazo mgando hayo!!! Nyie ndiyo mnaotaka sura zile zile za mwaka 47 za akina Makamba, Makinda, Sitta, Maji ya Tanga, Chiligati and the likes. Wazee wanachemka kila siku hakuna noma, kwa vijana inakuwa incompetence!!
 
AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
195
Mimi nadhani hapa ukumbini tunapaswa kuwa tunaleta mada na kuzijadili kwa misingi ya facts na sio ushabiki.

Sijaona tatizo la ujumbe wa Mbowe maana tangu mwanzo walisema "raisi ni raisi maana ameshawekwa madarakani na hawana njia ya kupinga hilo" ila "wanakataa matokeo yaliyomuingiza madarakani" hili ndilo hata Dr Slaa alilisema wazi....njia pekee ya kumkataa "mteule wa CCM na NEC ni kwa stail ya PEPOPLE POWER.

Hivyo basi, sijaona mbowe anapoomba samahani na sitatarajia waombe samahani. Messege is already sent and delivered ndani na nje ya nchi na kwa watu woteeee....

Their walk out was very strategic, i salute them.

LONG LIVE PEOPLEs POWER

Walatini na waroma wansema "Vox pupul vox dei =sauti ya watu sauti ya Mungu!
 
boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,288
1,500
Mimi nimesoma magazeti mwananchi, the guardian na daily news nimeshtushwa na kauli ya Mbowe. Mimi nilihisi lazima atakuja kuilemba lemba kitendo cha kutoka nje ya bunge, moja wapo ni maslahi bainafsi na kupenda vya dezo ambayo ni kila nmwanasiasa hata kwa wale wasiona wanasiasa na wale ambao wanajifanya kuwa na misismamo mikali hata pata JF hasa wale wachadema.
Mbowe baada ya kupata habari kuwa CCM itapeleka hoja ya kuwatoa katika uongozi wa upinzani,
  • ameogopa kukosa gari ambalo halina namba limeandika KUB ambalo ni ishara ya 'ukubwa' kila takapo pita
  • pamoja na dereva
  • atakosa ofisi kubwa tu aliyopewa na
  • wafanyakazi na stationaries
Vyote hiyo kwa gharama ya mlipa kodi na marupurupu kibao yanayoendana na nafasi hiyo. Kama ambavyo mawaziri wanavyotanua. Pamoja na kwamba yeye kama F. Mbowe anapesa za kumtosha lakini hana tofauti na wanasiasa wengine wanaopenda ukubwa na marupurupu yake.

Nilijua na niliona ni kiini macho kumkataaa rais wakati unaendelea kutumikia bunge ambalo rais ni mmoja wa wabunge kulingana na katiba ya jamhuri ya muungani wa tanzania,
Unamkataa rais wakati unaendelea kula posho na kuchukua magari ya ubunge. Kweli ilikuwa danganya toto, sasa Mbowe anasema hawamkatai rais ila walitaka tu kupeleka ujumbe basi hivyo wanataka waongee na serikali ya Dr. Jakaya Kikwete wayamalize mapema ili CCM wasije kuwaondoa kwenye uongozi wa upinzani maana tayari mbowe ameunda baraza la mawaziri kivuli anasuburi tu Rais JK atangaze la kwake nayeye afanye mabadiliko kidogo kulingana na Rais JK alivyounda wizara zake.

Ama kweli siasa ni kiini macho kikubwa, wakereketwa wa chadema wenye kupinga kila kitu ambacho hakiendani na chadema ama kinaelekea upande wa ccm baadhi yao hawaamini na watakuja na kauli kali na wale wa kutukana kwa kukosa ustaarabu watatukana ila ukweli ubaki pale pale "never trust a politician" they always change and refine statments to justify their interests and keep on saying " we do not have permanent enemy or friend, "your big enemy in the morning will turn to be a big friend in the afternoon."
 
matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,055
1,195
I have the same feeling as Katoshi. Ni muhimu kuuelewa ujumbe wa Mbowe. Please soma tena kabla ya kukoment
 
Selemani

JF-Expert Member
Aug 26, 2006
890
250
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,819
0
Siasa za bongo bwana.....

Bombe anasema wagombea wote walipitisha wakati Zitto anasema la, lipo kundi lilipopinga.

Na wote wawili ni viongozi wa juu wa chama.
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,819
0
"....If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.

Suala hili lilijadiliwa hapa na wana chadema (fanatics ambao ni wengi) bado kidogo watoke vipovu walipoelezwa kuwa kumhakiki Pinda ni sawa na kumtambua rais.

Labda sasa Bosi mkuu kasema wataelewa.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,010
2,000
haya ni maneno yangu wanangu '' kila mutu anakula kwa urefu wa kamba yake'' kama wewe huna kisu kikali huwezi kula nyama .. Believe me haya yanayotokea yanamaanisha hatuna wapiganaji wa kweli, we're all loosers poor tanzanians
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,070
0
Billicanas ipo katikati ya Dar Es salaam.....

Haswa, ndio hapo ilipo na mrithi wake ndie huyo kiongozi wa Chadema, uozo wa maadili uliopo pale halafu leo mnajidai mna kiongozi? Watu wa ajabu sana.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mwanaume

Senior Member
Oct 11, 2009
133
195
People think again. We are pressing for change which will not come today. Kikwete is declared the president by the NEC kwa njia za ujanja. Katiba ya kidictator and you are NOT allowed to challenge NEC decision anywhere. What do you think any wise man could have done kama siyo kuonyesha this disatisfaction kwa vitendo?. It is known, nothing is going to change kabla katiba haijabadilika ladies and gentlemen. So kosa la kauli ya mbowe na vitendo vya wabunge wa Chadema LIKO WAPI?
 
Njilembera

JF-Expert Member
May 10, 2008
1,480
2,000
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.

Hongera for your with-hunting, Mr Fault-founder!!!!
 
Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
0
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.

Umeliweka vizuri.
Uongozi wa juu Chadema wanaonekana kutoa kauli zinazokinzana.
Hali kama hii inafanya chama kionekane cha kisanii, hakiko makini.

Members wa Chadema, mna roho ngumu kiasi cha kukubali upuuzi huu?....

One day you will wake up.
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
0
Dar Es salaam ni Jiji lenye wananchi wa itikadi za vyama mbalimbali kwa manufaa ya nchi..... Dar Es salaam Hoyeeeeeeeeeee......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom