Halima Mdee--Madale Ni Aje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee--Madale Ni Aje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Selemani, Oct 17, 2010.

 1. S

  Selemani JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wana Chadema wanajifanya wako pure sana. Pretending to be the ushers of new dawn of transparency and utawala bora (Although they can't even balance budget ya chama).

  Sasa muulizeni dada yenu Halima Mdee, kufanya mikutano ya siri usiku huko Madale, na kumuhonga (kutoa rushwa) kwa mwenyekiti wa mtaa wa CCM ili ampigie debe. And then akatuma vijana wake wakamdunde baada ya kuona kachakachuliwa.

  Obviously sina uwezo wa kuweka evidence humu ndani, lakini muulizeni yule Ms. Mdee atawaeleza ukweli.

  I'm just saying, halafu mnapata audacity ya kupiga makelele kuhusu rushwa. Look, ya'all can't win--not because CCM ni chama makini, its because you are not serious. Simplifying our problems, and offering populist ideas ili mshinde uraisi ndio maana wabongo wanawakataa.

  By the way--Hai, Moshi Mjini, na kwa Zitto Kabwe. Patachimbika huko. Its not as easy kama wadau wanaoishi maisha ya kwenye internet wanavyofikiri.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bumbuli vipi?
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  You can also spin it in this way ... ""huyo mwenyekiti alivunja 'makubaliano' na kulipwa 'haki yake' aliyostahili"".
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tumekusikia bwana. Najua umepiga kura JF kumuokoa fisadi JK. Ukajaribu kurudia mara ya pili, Systema ikachomoa. Sasa unabaki kulalama. Unafura. Una hasira!! Kwa nini?

  Kawambie na wana-ukoo wenu wajiunge JF wampigie kura JK.

  Dr. Slaa for Life.
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280


  Heshima kwako Selemani,

  Mkuu habari yako sijalewa vizuri ebu rudi tena utujulishe kulikoni uko kawe usijali sana vibweka vya JF wapo watu walio tayari kusikiliza hoja bila kujali zina unga mkono chama gani.


  Jaribu kuleta hoja bila kuingiza ushabiki inaelekea unaishi Dar Kawe mambo ya Hai na Kigoma tuwaachie watu wa huko watupashe mkuu.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mbona husemi jinsi makamba anavohonga vyombo vya habari
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...presha inapanda, inashuka...
   
 8. majata

  majata JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  wewe unaeishi maisha ya sio ya internet, habari za kigoma na moshi umepata wapi? nawewe upo dar? acha ushabiki wa kijinga.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo tatizo la kuwaza kwa kutumia tumbo badala ya ubongo. Huoni aibu kutetea mafisadi??? Mafisadi wote wa nchi hii wapo sisiem.
   
 10. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Seleman unashangaza sana tutamuulizaje MDEE wakati wewe ndie mtoa taarifa, eti unauwezo wa kuweka evidence sasa MDEE ndio ataweka evidence hivi wewe na akili zako timamu MDEE achakachue halafu aulizwe kama kweli amechakachua AKUBALI? mbona unanifanya nitilie shaka posts yako? umetumwa wewe hee. Kmama una ushahidi ndugu yangu usiongee tu ilimradi unatetea chama chako,

  Basi wapeleke waandishi wa habari kwa mwenyekiti wenu wa mtaa aliyepewa RUSHWA na MDEE akapokea na kutokutekeleza makubaliano yao ili ushaidi uanze kukusanywa na uhakika wa ukweli wa habari yako upatikane japo robo. ILA NAKUTAADHALISHA MDEE NI MWANA SHERIA HIVYO ukitafuta uthibitisho kwa njia niliyokueleza usifanye mapishi utajikuta KISUTU kujibu tuhuma.(sikutishi)

  CHA MSINGI wasilisha USHAIDI wa kuchakachua kwa MDEE. maana hata awe nani akiwa mla rushwa wachukia ufisadi atumkubali. Lakini tabia za umbea na majungu ya kualibia watu majina hapa JF ndio haukubaliki kabisaaaa sawa SELEMAN, fanyia kazi taarifa yako
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Seleman chama kinachoongoza nchini kwa kukemea kwa nguvu zote ufisadi ni CHADEMA. Pamoja na uchache wa wabunge wao lakini kishindo chao kimewatikisa mafisadi wote nchini. Haiwezekani kamwe kwamba CHADEMA iwe inakemea na kufichua kiasi hicho ufisadi halafu upande wa pili nao wawe wanaendekeza tabia hiyo hiyo. Hata MDEE naye akibainika anachakachua mambo ili awe kiongozi basi atashughulikiwa kama mafisadi wengine tu. Mwisho ninapenda uelewe jambo moja tu "HAKUNA MAHALI AMBAPO MAFISADI WANAJISIKIA WAPO NYUMBANI KAMA SISIEM".
   
 12. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well said Naloli
   
 13. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Selemani, unaweza kuelezea uhusiano kati ya January Makamba na Rashidi Shamte?
   
 14. Profesy

  Profesy Verified User

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni blaa blaa tu. Naomba evidence ndio niamini labda.
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hatudanganyiki 2010...chagua dk slaa,chagua h. Mdee
   
 16. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Selemani Source and evidence pls!
   
 17. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni vibaya kuweka habari za kutunga. Ila kama unapenda kufanya hivyo basi tumia akili watu wasijue. Bahati mbaya uwezo wako ni duni sana. Inabidi tuunge mkono sera ya elimu bure hadi form six. Usiikimbie elimu dunia ndugu.
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Hatimaye na H.Mdee ameanza kuwa mwiba wa mafisadi pale Kawe,naona watu na magazeti wanaanza kumtengenezea skendo. Hamjua kama mnampa publicity kwa kumtangaza bila yeye kulipia. Sema mengi ili watu wazidi kumjua yeye ni nani,wakishamtambua basi atang'oa jimbo kiulaiiíni! Dada Halima yuko juu wakuu! Dr.SLAA ANAWEZA.
   
 19. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  KAZI SIO RAHISI ndio maana wameogopa kufanya uchaguzi wa viti maalum ili kusudi HALIMA MDEE akikosa ubunge kawe jambo ambalo ni wazi atakosa waweze kumpa nafasi ya mbunge wa viti maalum.chadema acheni usanii cham hicho ni cha kujenga taifa sio cha watu wachache wote ni wale wale tuuu.hakuna jipya mnalotaka leta zaidi ya kuganga njaa tu.
   
 20. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi imekuaje tena Mdee akaenda kugombea kwenye jimbo la Ubungo kwa Kamanda Mnyika??? Huyu Suleman hajui anachokisema kwa sababu Madale iko jimbo la Ubungo!!!!

  Wamekamatika kila kona, mwaka huu hatudanganyiki!!!!!
   
Loading...