Naomba mniwie radhi wadau na waungwana kwa kuvamia jukwaa, ila nina usongo sana na album ya mpya ya Twanga (mtaa wa kwanza). Mlioko nyumbani mtusaidie jamani hata singo ya kwanza mtuwekee hewani.
Youtube it, au megaupload, rapidshare.com..vyovyote vile wazee tuweze kuila mtaa wa kwanza.
Nashkuru sana.
Youtube it, au megaupload, rapidshare.com..vyovyote vile wazee tuweze kuila mtaa wa kwanza.
Nashkuru sana.