Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selemani, Nov 19, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. S

  Selemani JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa Halima James Mdee;

  Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.

  Umekwenda bungeni tukijua kwamba ili uweze kuleta mabadiliko uliyoyaongea sana kwenye kampeni zako inabidi ufanye kazi bega kwa bega na wabunge wenzako pamoja na watendaji wa serikali. Ulivyoapishwa kuwa mbunge ulikubali kulitumikia taifa kwa misingi ya katiba yake. Na ukamuomba mola akusaidie. Sisi tulipata faraja sana, kuona mbunge kijana na mwanamama akituwakilisha, ukiachilia mbali itikadi zetu tofauti za kisiasa.

  Halima, umekwenda bungeni baada ya wiki moja tu, hatukuelewi vizuri. Umeapa kufanya kazi na serikali hii lakini jana umefuata mkumbo na kutoka kwenye hutuba ya raisi. Kwa sisi wakazi wa kawe, kuwalk out sio tatizo. Tatizo ni unafiki wa hicho kitendo, juzi uliapa kuwa mbunge knowing kwamba lazima ufanye kazi na serikali hii. Pia utaanza kutimiza ahadi zako ulizotuahidi. Lakini, pia unasema kwamba humtambui rais jakaya. Halima, unatuchanganya huku jimboni. Miaka 5 ni mingi, na kama utakuwepo bungeni kufanya hii michezo ya kuigiza kwa kipindi chote, nadhani utakuwa unapoteza sana potential yako. Kwa sisi tunaokujua, tunaamini kabisa kwamba umeshindwa kwenda kinyume na uongozi wa chama chako. Lakini hilo haswa ndio linalotuogopesha, kushindwa kufuata misingi yako kwa sababu ya shinikizo la uongozi wa freeman na mwenziwe willbrod.

  Huku kawe ni wewe pekee utayekuwepo kwenye ballot hapo 2015. Na sisi wana kawe tutakukumbuka kwa yale uliyojenga na sio kubomoa. Mpaka dakika hii, hujajenga hata moja, na unabomoa misingi ya ushirikiano with your number one partner in development of kawe, serikali ya ccm.

  Ni hayo tu, karibu tegeta.

  Selemani.

  Ps; kawe ulipata kura 43,365. Rais jakaya alipata kura 45,321 (48%). Nakuomba ulifikirie hilo
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alicholalamikia Halima jana ni JK kupewa zaidi ya kile alichopata. Tunashukuru kwa kuleta ushahidi zaidi.
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Halima mdee alichaguliwa kuwa mbunge kufuatana na kukubalika kwa manifesto ya uchaguzi ya chama kilichomteua kugombea; hayupo bungeni kuwafuata na kuwatukuza mafisadi!! Tumemtuma Halima kwenda bungeni ilil aweze kuturekebishia ufisadi uliofanywa jimbo la Kawe na waliomtangulia hasa mayor wa Kinondoni aliyemaliza muda wake [Salum Londa] aliyeuza open spaces zote pamoja na bustani iliyokuwa sehemu za barabara ya Africana.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sijaona mbunge yeyote wa CCM anayepingana na utashi wa chama chake eti kwa maslahi ya constituency yake. Halima Mdee ni mbunge tuliyemchagua kwa nguvu ya CHADEMA kutekeleza ilani ya chama chetu na kutuwakilisha sisi tuliokubali sera za CHADEMA. Kushirikiana na serikali si lazima kuwe kukubaliana kila kitu na CCM. Uamuzi wa kususia hotuba ya Kikwete ulikuwa uamuzi wa kichama wenye malengo ya kichama. Halima ataweza kutimiza ahadi zake kwa constituency yake kwa kufanya kazi pamoja na CHADEMA kutekeleza ilani ya CHADEMA kama ilivyo na wana CCM walioshinda kwenye chaguzi zao. Kufanya kazi na serikali hakumaanishi kupuuza mamalamiko ya kimsingi yaliyojitokeza katika uchaguzi huu. Ni matarajio yetu kuwa Halima Mdee atasaidia CHADEMA kufikia malengo yake at the national level wakati huo huo akitimiza wajibu wake kama mbunge wa Kawe.
   
 5. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako binafsi usifanye kama ndio ya wanajimbo la Kawe na inawezekana kabisa hutoki huko. Si busara pia kumwambia unaye mwita mbunge wako kuwa alifuata mkumbo! Mdee ana akili timamu,utashi na uwezo mkubwa wa kufikiria ndio maana hata wewe ulimchagua (kama unatoka huko na ulimchagua maana wewe ni CCM) kwa hiyo si vema kumwambia alifuata mkumbo. Mdee ni mbunge kupitia CHADEMA na sio binafsi na 2015 atagombea pia na kuchukua jimbo pia. Ni vizuri pia uwe una tumia lugha moja kiswahili au Kingereza badala ya kiswa-english
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  UDAKU huu.

  Hapana; Nina mji wangu huko Kawe ingawa sikujiandikisha kupiga kura huko, nilikaa pale kwa siku kama tatu hivi baada ya uchaguzi nilipotoka Tabora nilikopigia kura yangu. Nina uhakika kuwa Jakaya hakupata 48% bali kura zile za NEC zilichakachuliwa vibaya sana. Mtaani kwangu nina uhakika kuwa hakuna aliyempigia Kikwete kura hata moja ingawa ni sehemu yenye watu affluent sana ambao mtu unaweza kusema wananufaika na status quo
   
 7. R

  Rugemeleza Verified User

  #7
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mkazi wa Kawe ninaunga mkono msimamo wa Mdee hivyo unayoyasema ni kauli yako na usitumbukize sisi wengine ambao hatutaki kuona tunaongozwa na watu wanaoiba kura. Ushindwe!
   
 8. kitungi

  kitungi Senior Member

  #8
  Nov 21, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee
  Mheshimiwa Halima James Mdee;

  Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.

  Umekwenda bungeni tukijua kwamba ili uweze kuleta mabadiliko uliyoyaongea sana kwenye kampeni zako inabidi ufanye kazi bega kwa bega na wabunge wenzako pamoja na watendaji wa serikali. Ulivyoapishwa kuwa mbunge ulikubali kulitumikia taifa kwa misingi ya katiba yake. Na ukamuomba mola akusaidie. Sisi tulipata faraja sana, kuona mbunge kijana na mwanamama akituwakilisha, ukiachilia mbali itikadi zetu tofauti za kisiasa.

  Halima, umekwenda bungeni baada ya wiki moja tu, hatukuelewi vizuri. Umeapa kufanya kazi na serikali hii lakini jana umefuata mkumbo na kutoka kwenye hutuba ya raisi. Kwa sisi wakazi wa kawe, kuwalk out sio tatizo. Tatizo ni unafiki wa hicho kitendo, juzi uliapa kuwa mbunge knowing kwamba lazima ufanye kazi na serikali hii. Pia utaanza kutimiza ahadi zako ulizotuahidi. Lakini, pia unasema kwamba humtambui rais jakaya. Halima, unatuchanganya huku jimboni. Miaka 5 ni mingi, na kama utakuwepo bungeni kufanya hii michezo ya kuigiza kwa kipindi chote, nadhani utakuwa unapoteza sana potential yako. Kwa sisi tunaokujua, tunaamini kabisa kwamba umeshindwa kwenda kinyume na uongozi wa chama chako. Lakini hilo haswa ndio linalotuogopesha, kushindwa kufuata misingi yako kwa sababu ya shinikizo la uongozi wa freeman na mwenziwe willbrod.

  Huku kawe ni wewe pekee utayekuwepo kwenye ballot hapo 2015. Na sisi wana kawe tutakukumbuka kwa yale uliyojenga na sio kubomoa. Mpaka dakika hii, hujajenga hata moja, na unabomoa misingi ya ushirikiano with your number one partner in development of kawe, serikali ya ccm.

  Ni hayo tu, karibu tegeta.

  Selemani.

  Ps; kawe ulipata kura 43,365. Rais jakaya alipata kura 45,321 (48%). Nakuomba ulifikirie hilo ​
  Ina maana wewe unaridhishwa na uchaguzi uliopita? duh!! nadhani umri wako utakuwa zaidi ya miaka 50.Sababu kama ukiwa ni kijana wa kisasa utataka mabadiliko kidogo wewe huchoki kusikia majina yale yale tangu unakua? au unadhani hakuna vijana wengine wanaoweza kushika madaraka hayo? kwa iyo kuna issue nyingine naomba uweke u sisiemu kando kidogo angalia hali halisi.muda umefika wa kupumzika kidogo!
   
 9. n

  ngurdoto Member

  #9
  Nov 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watanzania bwana hawataki kusikia Mkubwa aambiwe umekaa uchi. Hivi kama kuna kosa walilofanya CHADEMA si Sheria za nchi zifuatwe na kanuni zake kwanini muendelee kuwashwa wametoka wametoka wakatik hakuna sheria wala kabuni waliyoivunja. Na wataalamu wa sheria wanasema hiyo ni haki yako kwa mujibu wa Katiba. Tatizo liko wapi, au nyie ndio mnaosubiria uteuzi wa U-DC, RC, NAIBU UKATIBU MKUU, KATIBU MKUU, NAIBU UWAZIRI NA UWAZIRI.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Watu wa Bumbuli ndio walikutuma afanye hivi? kwi kwi kwi
   
 11. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mbona CCM walimtoa Sitta u spika wabunge wao wanajua kuwa SITTA alistahili kuendelea na kwamba ameng,olewa na Mafisadi mbona hilo halizungumzwi?!! whats wrong with u people?!! Chadema kutoka nje ni sawa kabisaaaaa..Halima mdee anatekeleza ahadi za chama na yeye sio mnafiki kama ZITTO KABWE.
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ana matatizo mengi ya kuyatatua huko Bumbuli ,pamoja na kuzifikiria shutuma alizotolewa na Lissa Rockerfeller; kwahiyo tunamshauri kwa bisara tu atuachie Halima Mdee wetu na Kawe yetu!!
   
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  unajuaje, wewe NEC? Ushasema ulikuwa Tabora, hujui Kawe nani alimpigia kura nani

  wild headless speculation, na wako pia udaku
   
 14. F

  Far star Senior Member

  #14
  Nov 21, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona walipokuwa wanatonja nje ya ukumbi wa bunge ,ccm walikuwa wakiimba kwakushirikiana na cuf tlp na nccr,walikuwa wakiimba ccm ccm ccm,huku wakipiga makofi kuashiria wanaunga mkono au wanakubaliana na chadema kutoka nje.kumpigia mtu makofi bungeni maana yake nini kama sio kukubaliana nae.
   
 15. F

  Far star Senior Member

  #15

 16. F

  Far star Senior Member

  #16

 17. F

  Far star Senior Member

  #17

 18. b

  bojuka Senior Member

  #18
  Nov 21, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kila hoja inayoletwa bungeni na kujadiliwa lazima ikubaliwe
   
 19. F

  Far star Senior Member

  #19
  Nov 21, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambieni huyo wakala wa ccm alietumwa ,sasa hivi hakuna mtu wa kumdanganya hatakidogo.
   
 20. M

  Mpendagiza Member

  #20
  Nov 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halima mdee ndiyo mbunge wetu,hata darasani ukiona mwalimu humuelewi unatoka,kwan marangapi Rais huwa anahutubia watu wanatoaka viwanjani wakiona chai zimezidi???hata ktk TV mi nilichange chanel baada ya kuona anaongea vtu vsivyowezekana na hata kama ningekuwa bungeni ningetoka
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...