Search results

  1. Sufian Jr

    Ajira ya kujitolea dawasa

    Wengi wao waliopata PF number walikua wanajitolea na wanalipwa laki3 dawasa ni taasisi inayojitegemea na kujiendesha kwa mapato Yao wenyewe bro
  2. Sufian Jr

    Ajira ya kujitolea dawasa

    Wakuu Habari, Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4. Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa...
  3. Sufian Jr

    Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Nishauri but usinijibie that Sina pesa ,,sijui kizungu unskilled labour are u real sure that I am unskilled labour ? I got money for visa Ila changamoto ni taratibu za kuipata Hadi niwe na mtu anifanyie process ya invitation letter that's all ...I can operate forklift , I can make land survey...
  4. Sufian Jr

    Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Asante nimeviona nawasiliana nao soon
  5. Sufian Jr

    Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Kama umesoma na kuelewa nadhani usingeniuliza nataka Nini Kama unafahamu chuo ungenitajia chuo fulani
  6. Sufian Jr

    Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Poa poa ndugu yangu ndio natafuta mawazo hapa kwa forum yetu inawezekana yupo mtu huko akanipa some hints atleast nipate mwanga
  7. Sufian Jr

    Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
  8. Sufian Jr

    Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea kufanya kazi ya Excavator Operator

    Nenda twiga cement au njia ya kuelekea mkuranga Kuna viwanda vingi Sana na haya madude yapo
  9. Sufian Jr

    Nimechaguliwa kozi ya Wildlife Management. Naomba ushauri

    Kozi nzuri jiandae kuanza masomo ajira zake ata nchi za wenzetu unapata Kazi
  10. Sufian Jr

    Trump huenda akaanguka Urais Marekani, Macho yote majimbo(state) matatu Nevada, Wisconsin na Michigan

    Nimeona sehemu trump anasema Kuna udanganyifu je anavyosema anaenda kupinga mahakamani Sheria zao zinaruhusu?
  11. Sufian Jr

    Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
Back
Top Bottom