Search results

  1. B

    Natafuta RAV4 Old model

    Wakuu natafuta gari RAV 4 old model, Sifa Namba=B/A/C Rangi=nyeupe au silver Mengine majadiliano, bei isizidi 6.5m Niko Dsm Nawasilisha
  2. B

    Labour court rules

    Wakubwa naomba mwenye labour court rules -Tanzania, soft copy aturushie humu jamvini, Nina shida nayo sana
  3. B

    Naombeni msaada kuhusu utaratibu wa kuacha njia/barabara pale unapojenga

    Wana JF naomba wenye ujuzi mnijuze. Hivi suala la kuacha njia/barabara pale unapojenga utaratibu wake ukoje hasa kwa maeneo ambayo hayajapimwa? Na Je ni sahihi wananchi kulazimisha njia katikati. ya shamba la mtu? Karibuni kwa mchango wa mawazo.
  4. B

    msaada wa kiufundi

    wana jf wenzangu gari yangu suzuki escudo automatic imekuwa ikiflash/blink taa ya over drive kila ninapopunguza mwendo au kupandisha kilima. ikisha changanya mwendo taa inazimika. je tatizo hili linaweza kuwa ni nini na nitalitatua vipi? mafundi wawili wamesha shindwa.
  5. B

    Naombeni ushauri ya manunuzi ya gari

    Wataalamu naombeni ushauri. mimi kwa hela niliyo nayo siwezi agiza gari nje sana sana nitachukua showrooms au nitamvua mtu. sasa nishaurini ni vitu gani vya msingi natakiwa kuwa makini navyo hasa nitakapoamua kununua gari kutoka kwa mtu binafsi? na kama ni showroom ni zipi ambazo ziko fresh...
  6. B

    Suzuki escudo

    Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani? naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
  7. B

    Msaada kuhusu sheria za kazi

    wana jf sect 43 ya ELRA states that where an employee's contract is terminated the employer shall pay for the transportation of that employee to the place of recruitment. swali langu ni; kwa kuwa sheria hapo haijasema the contract is terminated by who, je ni haki mfanyakazi aliye terminate...
  8. B

    Naombeeni msaada

    wakuu/wasomi naombeni ushauri wa kitaalam, nina kiwanja changu, nimekuta jamaa wameanzisha njia/ anapitisha gari bila hata ya kunitaarifu, nami nataka nichukue uamuzi wa kuiziba/ kuweka fence, je niko sahihi?
  9. B

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 yanatoka lini?

    wana jf natamani sana kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 wanatoa lini na kwa njia ipi tafadhali mwenye data atujuze
  10. B

    Maziwa aina ya nursoy

    Wana JF naombeni mnijuze ni wapi hapo DSM naweza kupata maziwa haya kwa ajili watoto. Nikipata wanapouza ya jumla itakuwa vizuri zaidi. asanteni kwa ushirikiano
  11. B

    msaada tafadhari

    wana JF kuna jamaa yangu alikuwa anamsomesha mtoto yatima, maendeleo ya yule mtoto hayakuwa yakuridhisha hata kidogo darasani. akatakiwa kurudia kidato cha kwanza au kuhama, akahamishwa na kutafutiwa shule ingine lakini kule pia ndo akafanya vibaya zaidi. kwa kuwa huyo jamaa alikuwa ni mlezi tu...
  12. B

    mabadilko katika sheria (Amendments)

    wana JF naomba kama kuna ambaye tayari ameshapata zile amendments za sheria ya ajira na mahusiano kazini atuwekee hapa jamvini.
  13. B

    Maziwa/uji kwa mtoto

    Wana JF ni umri gani hasa unafaa kumwanzishia mtoto mdogo uji au maziwa? na kipi kinashauriwa kuanza kati ya uji au maziwa. wa kwangu ana miezi 2. Naomba ushauri wenu wa kitaalam.
  14. B

    msaada wa haraka

    wana JF nina mtoto mdogo mwezi na nusu, hajapata choo (haja kubwa) siku ya nne sasa, wengine wanasema ni kawaida, je kuna uwezekano ikawa ni ugonjwa? naombeni msaada na ushauri wenu tafadhari. Ikumbukwe kuwa hajaanzishiwa chochote zaidi ya maziwa ya mama.
  15. B

    Msaada tafadhari

    Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu tumbo lina muuma muda wote ameenda hosp. baada ya kumpima wamegundua kuwa INI lake ni kubwa isivyo kawaida, amepatiwa dawa lakini bado maumivu yanaendelea. je nini huwa kinasababisha ugonjwa huu? na tiba mbadala huwa ni ipi? naombeni wataalam mnisaidie.
  16. B

    Daktari wa watoto

    wadau naombeni msaada kwa anyefahamu dk. bingwa wa magonjwa ya watoto wachanga kwa hapa DSM anielekeze tafadhali. asanteni
  17. B

    Vifaa vya mazoezi

    wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano.
  18. B

    Protected music files

    wanajamii naomba msaada wangu nina music file (zilipendwa) ziko protected nashindwa kuziplay, ku burn hata kudownload licence. naamini hapa jamvini hakuna linaloshindikana. mwenye utaalam nidokeze tafadhali.
  19. B

    Ugonjwa wa macho

    Wadau naombeni msaada wenu, mimi nina tatizo la macho macho yangu yalianza kuwasha miezi kama miwili iliyopita, nikaenda hospital Regency nikapewa dawa ya matone(drops) nikaambiwa nitumie siku 7. Baada ya siku 7 kuisha nikaenda tena nikabadilishiwa dawa nikapewa ya kutumia mwezi mzima...
Back
Top Bottom