Maziwa aina ya nursoy


B

Bizzly

Member
Joined
May 3, 2010
Messages
72
Likes
6
Points
15
B

Bizzly

Member
Joined May 3, 2010
72 6 15
Wana JF naombeni mnijuze ni wapi hapo DSM naweza kupata maziwa haya kwa ajili watoto. nikipata wanapouza ya jumla itakuwa vizuri zaidi. asanteni kwa ushirikiano
 
N

nyangau

Member
Joined
Aug 15, 2008
Messages
51
Likes
1
Points
0
N

nyangau

Member
Joined Aug 15, 2008
51 1 0
Ninachokumbuka mimi hayo maziwa yalishazuiliwa na watu wa tfda kutumia kwa ajili ya watoto
 

Forum statistics

Threads 1,237,537
Members 475,534
Posts 29,292,302