Ugonjwa wa macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa macho

Discussion in 'JF Doctor' started by Bizzly, May 3, 2010.

 1. B

  Bizzly Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wadau naombeni msaada wenu, mimi nina tatizo la macho macho yangu yalianza kuwasha miezi kama miwili iliyopita, nikaenda hospital Regency nikapewa dawa ya matone(drops) nikaambiwa nitumie siku 7. baada ya siku 7 kuisha nikaenda tena nikabadilishiwa dawa nikapewa ya kutumia mwezi mzima. nimetumia hiyo dawa macho yakawa hayawashi isipokuwa mpaka sasa nasumbuliwa na kutoka matongotongo hasa asubuhi na inapofika jioni/usiku macho yanakuwa kama na ukungu fulani. tafadhalini sana wataalamu naombeni ushauri nifanyeje?
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nenda ccbrt ni wazuri zaidi kwa macho
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  J.tatu katika kipindi kimoja cha afya ya jamii ITV walizungumzia kuhusu presha ya macho ambayo huanza bila maumivu lakini ni hatari kwa kusababisha upofu. ni bora uende hospitali kwa wataalamu wa macho upate vipimi vya uhakika.
   
Loading...