Msaada tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhari

Discussion in 'JF Doctor' started by Bizzly, Jul 16, 2010.

 1. B

  Bizzly Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu tumbo lina muuma muda wote ameenda hosp. baada ya kumpima wamegundua kuwa INI lake ni kubwa isivyo kawaida, amepatiwa dawa lakini bado maumivu yanaendelea.

  je nini huwa kinasababisha ugonjwa huu? na tiba mbadala huwa ni ipi? naombeni wataalam mnisaidie.
   
 2. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Maelezo zaidi ya kitaalamu yalitakiwa kutolewa na hao madaktari waliomuona mgonjwa, kuna vitu vingi vinavyosababisha ini kuwa kubwa( Hepatomegally) ambavyo huwa sorted out kutokana na kumuexamine mgonjwa na kupima vipimo mbalimbali vya mwili kisha kile kilichoonekana ndicho chanzo cha tatizo hutibiwa kama kinatibika.
   
 3. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1 MIAKA ,... Isije kuwa malaria?
  2 LINAUMAJE

  .
   
Loading...