msaada wa haraka

Bizzly

Member
May 3, 2010
79
21
wana JF nina mtoto mdogo mwezi na nusu, hajapata choo (haja kubwa) siku ya nne sasa, wengine wanasema ni kawaida, je kuna uwezekano ikawa ni ugonjwa? naombeni msaada na ushauri wenu tafadhari.

Ikumbukwe kuwa hajaanzishiwa chochote zaidi ya maziwa ya mama.
 
mwahishe kwa specialist..muda mwingine inaweza kuwa sio tatizo la maji.
 
its normal
wangu alikaa 6 days.ndivo trend inavukua.leo atapuu anakaa siku 3 au had 6 then anapuu tena.i ve two kids i know coz hata mie at first nilihofu.ila ni kawaida.hataivo ni vema ukampa maji ml 10 au 20,kama una maziwa mengi we mkandamize nyonyo tu mwanawane, ndo anakua ivoo:violin:
 
unambania nyonyo mpe nyonyo huyo hadi apuu ila ukiona kimya sana muone mtaalam wa watoto kwa ushauri zaidi
 
asante wakuu, nimempa maji na matokeo yamekuwa mazuri, nawashukuru kwa ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom