Search results

  1. kioju

    Ujumbe wa Askofu Kakobe, mtego kwa CHADEMA unaoelekea kuwashinda kuutegua

    Ni takribani siku Nne sasa toka taarifa zizagae hasa katka mitandao ya kijami,i kuhusu ujumbe na Neno alilotoa Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Z.Kakobe, kwa vyama vya upinzani hususani chama kikuu cha upinzani kwa sasa CHADEMA juu ya kauli za viongozi wake mbalimbali...
  2. kioju

    Kubadilishana intake Law school January na June 2018

    Salaam wadau namshukuru Mungu nimekua mmoja wa waliochaguliwa kujiunga na Law school kwa mwaka wa masomo wa 2018 lakin nina shida moja ya intake, niko intake ya June kama kuna mtu aliyechaguliwa january na angependa kuingia June tubadilishane na tuwasiliane tafadhali Shukran
  3. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Wakuu habari zenu, poleni na shughuli mbali mbali, leo niko hapa kuwatangazia fursa ya kazi, kabla sijatoa sifa niweke wazi tu kuwa ni mimi binafsi nahitaji mtu huyo ili kufanya nae kazi ambayo iko kwenye mchakato wa kuimalizia ila kuna upungufu wa mtu huyu Sifa. Awe na umri usiopungua miaka...
  4. kioju

    Kwanini TCRA wanawafumbia macho Star TV kwahili?

    Wasalaam wakuu, Imekuwa sasa ni kawaida kwa television hii ya Star TV kuonyesha makala ya balozi wa usagaji na ushoga nchini uganda ambayo huonyeshwa mara kwa mara pasipo kuwa na muda maalum, mara ya kwanza nilifikiri wamefanya vile kama kuonyesha tu hali ilivo Uganda lakini sasa hivi...
  5. kioju

    Msaada juu ya sheria inayohusu PF3

    Wakuu habari za sahizi naomba kujulishwa juu ya hii huduma ya PF3 inayotolewa na Polisi kwa wanaopata majeraha na wanahitajika kutibiwa, je ni sheria gan inayo ipa uhalali hii form kutumika? lakini nataka kujua pia kuna uwezekano wa mahakama kuadhibu awayeyote atakayeshindwa kufuata sheria hii...
  6. kioju

    Natafuta smartphone

    Jamani wadau natafta smartphone used kwa mwenye nayo anipm
  7. kioju

    Masha kutimkia Sengerema, ni kuwadharau wananchi wa jimbo hilo

    Zimekua zikiripotiwa taarifa za aliyekua mbunge a nyamagana 2005/2010 ndg masha kua ametimkia katka jimbo la Sengerema katika mchakato wa kuwania kuwakilisha bendera ya CCM kwa jimbo hilo ktk uchaguzi mkuu unaofanyika October mwaka huu. Kitendo hicho binafsi nakitazama kuwa ni kuwadharau...
  8. kioju

    Ama kweli hii n bajaji itakayoipeleka UKAWA magogoni

    Hii bajaj itatusaidia sisi ukawa kufika ikulu b-enard a-sha j-anuary a-mina j-ohn 👆😜😜😜😜😜😜😜
  9. kioju

    Kakobe na ujumbe wa pasaka juu ya katiba na uchaguzi 2015

     12:41 Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge katika Jiji la Dar-Es- Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi na uvumba kwa miaka mingi, hata mwaka 1995 alijitosa...
  10. kioju

    Aliye na Judicuture and Applications of Laws Ordinance(JALO) anisaidie

    wadau na wanasheria wote humu ndan tafadhari naomba kwa yeyote mwenye sheria hiyo ya JALO anisaidie kuipata. Hii n ile sheria iliyokuwako kabla ya hii tulionayo ya sasa ambayo ni JALA nawatakieni siku njema
  11. kioju

    Hivi wajumbe wa bunge la katiba wana akili nyingi kuliko wananchi?

    Habari wana JF, Leo nimewaza juu ya huu mchakato wa katiba mpya jinsi kamati zinavyoendesha uchambuzi wake kabla ya kuwasilisha kwa wajumbe wote. Kila ripot inayotolewa na kila kamati, inaonyesha kubadili vifungu ambavyo vilipendekezwa ndan ya rasm ya katiba mpya, swali linalo niumiza kichwa ni...
  12. kioju

    Naomba msaada jinsi ya kuweka partition kwenye Computer(Njia rahisi)

    Wana JamiiForums habri zenu, Mie leo ninashda moja, nina laptop haina partition yaani nikipga window chini kila kitu kinapotea, Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born Before Computer) sijui pa kuanzia wala pa kuishia, kwahiyo naomba mnisaidie wanajamii jinsi ya...
  13. kioju

    Msaada kuweka partition kwenye PC

    Wana JF habr zenu, mie leo nashda moja, kuna laptop ninayo ila haina partition yan nikipga window chin kila kitu kinapotea, Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born Before Computer) sijui pa kuanzia wala pa kuishia, kwahiyo naomba mnisaidie wanajamii jinsi ya...
  14. kioju

    Nahitaji Laptop dell

    Wakuu kwa yeyote mwenye laptop ya del yenye 2.13 double procesor ram 2gb na hhd 500 ani PM 2zungumze bei Au laptop yeyote yenye ukubwa unaokarbiana na huo yenye hal nzur Aksante kwa ushirikiano wako
  15. kioju

    Wanawake Wamkabili Papa kuhusu ruhusa ya kuolewa na mapadri

    Papa Francis kiongozi wa kanisa katoliki Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ya kumtaka kubadilisha sheria za kanisa hilo zinazowazuia viongozi hao wa dini kuoa. Wanawake hao 26 kutoka...
  16. kioju

    Umri umefika nahtaji mke wa maisha sio baby tena

    Habar za shughuli wadau katka safu hii, nahtaj mchumba, bdae mke wa maisha SIFA . Awe na umri usiozid miaka 27 .kabila lolote na rangi yeyote . Asiwe mwepesi wa kukasirika . Afu awe na uvumilivu . Elimu kuanzia kidato cha 6 Kumbuka sijaribu niko serious. mpenz Nilienae hafai kuwa mke na kashasepa
  17. kioju

    Wanasheria nisaidien hii quiz ya Tort please!

    Juma, Bakari, Asha and Rahma are sitting near one cafeteria at Dar es salaam preparing to take brake fast. Jamal, Asha‘s ex-girlfriend walks by holding an empty bottle of beer. He advances, angrily, towards Juma saying ‘I will show you who I am! No one steals my girlfriend and gets away with it’...
  18. kioju

    Kwa hili pia ni dalili ya utabiri wa Askofu Kakobe kwa CCM

    VIJANA zaidi ya 1,000 ambao ni wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha, wamevamia ofisi za chama hicho kuanzia ngazi ya wilaya na mkoa, wakidai wamechoshwa na uongozi wa juu wa chama kuwachagulia viongozi ambao si chaguo lao. Vijana hao walidai...
Back
Top Bottom