Kubadilishana intake Law school January na June 2018

kioju

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
804
271
Salaam wadau namshukuru Mungu nimekua mmoja wa waliochaguliwa kujiunga na Law school kwa mwaka wa masomo wa 2018 lakin nina shida moja ya intake, niko intake ya June kama kuna mtu aliyechaguliwa january na angependa kuingia June tubadilishane na tuwasiliane tafadhali
Shukran
 
Law school ni hela yako tu, nimeona usajili mtaanza tar.2 hadi 8 which means watakao jisajili tarehe hizo hawatafika 200, ni tarehe mbaya sanaa hizo, ukiwa na hela yako law school unaingia ata kama haukuapply, swala uwe na vigezo na masharti tu, kingine law school haijawai kua na kubadilishana kwa wanafunzi.
 
Back
Top Bottom