Search results

  1. no nm

    Simu ya Huawei Y330 - U11 imepoteza IMEI baada ya ku unlock SIM. Naomba msaada namna ya kurudisha

    Nimejaribu: 1. Nikitumia miracle box inafeli kwenye "downloading boot 8" then inajifunga. 2. Kuweka custom ROM kwa sp - flash tool, nimefeli. 3. Nime apply update kutoka kwenye sim card inagoma. 4. Nimetumia mobile uncle apk ku restore IMEI kutoka kwenye bak file sijafanikiwa. 5. Nimetumia...
  2. no nm

    Nimeota ninakunywa bia, ila mimi sinywi bia. Nini maana yake?

    Wadau, mimi sio mlevi na wala situmii kilevi cha aina yeyote ile, Sitamani kuwa mlevi na wala sijawahi kuwaza kutumia kilevi, hata haya ma-energy drinks sijawahi kutumia. Cha kushangaza jana usiku nimeota nakunya bia, nilipata pafu moja ila ikawa na ladha mbaya then nikaitema. Hii ni mara ya...
  3. no nm

    Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Huo ni ujumbe ninaoupata ninapolocate pointer kwenye icon ya battery, sometimes inacharge na sometimes haicharge. Nimejaribu ku-uninstall and ku~reinstall ACPI nikidhani kuwa inaweza kuwa corrupt lakini sijafanikiwa. Msaada wa haraka plz, nisaidieni viongozi
  4. no nm

    Tatizo kwenye samsung galaxy duos

    Pattern imekuwa drawn more than needed times sasa simu inataka nitumie google account lakini inagoma kwakuwa siko connected data, msaada please
  5. no nm

    Here we are

    Kweli kabisaa!??!
  6. no nm

    Jinsi ya ku-unlock smartkicka

    Help please
  7. no nm

    Ninatarajia DATE ya kwanza kabisa ndani ya miezi miwili.......

    ........ninayo furaha kuwataarifu kuwa ndani ya miezi miwili ijayo nitapata date ya kwanza kabisa, what shall I observe....??....wazoefu wa dates please Its my very 1st date of life
  8. no nm

    Umeshawahi kuliona hili?

    Kila uwanja wa mpira wa miguu (hasa viwanja vya wazi) unakuwa na njia katikati kutokea kona moja hadi nyingine (kama diagonal)......karibia viwanja vyoote.....hivi sababu ya hii kitu ni nini hasa...??...naomba tujuzane!! Nawasilisha.
  9. no nm

    Hiki kitabu kinapatikana wapi?

    Kinaitwa "The Man Behind the Millennium" I love it...........anayefahamu anisaidie
  10. no nm

    Tatizo ni nini hapa?

  11. no nm

    Naipataje simu ya android iliyoibiwa?

    Naombeni Msaada tafadhali, ni TECNO H6! Ahsante
  12. no nm

    Napataje screenshot kwenye techno h6?

    Naomba kusaidiwa
  13. no nm

    Angalia hii super mchubuo

    Supa makapu.
  14. no nm

    Nisaidieni stimulant ya kuzaliana kwa kasi

    Ndege wangu hawataki kuzaliana kwa spidi kubwa. Naomba mnisaidie wandugu niwafanyeje hawa wazaliane kwa sanaa?? kwa ku-BOFYA HAPA tafadhali. Ahsante.
  15. no nm

    Kuku wangu wa kienyeji wanataga vizuri na kulalia mayai, lakini utotoaji ni hafifu

    Msaada tafadhali, Kutatua tatizo hilo. Chakula chenye virutubisho vyote wanapata na maji vyakutosha, pia wana sehemu nzuri za kutagia na kutotolea. Kwa ujumla huduma zote wanapata., ila tatizo ni rate ndogo ya kuzaliana. Nawasilisha
  16. no nm

    Hatimaye nataka anza(nianze) kupenda

    Mbinu na vitendea kazi mahususi kabisa ni vyepi? NB-Nifundishwe kwa kutafuniwa na kumezeshwa I love you all, Ahsante
  17. no nm

    Help:Ninashindwa ku-log in yahoo

    Hasa kwa kutumia PC au mobile browser (kwa app ya yahoo hamna tatizo), kila nikijaribu napata huu ujumbe 'We've noticed some unusual account activity.' Ila sina access na namba ya simu niliyoitumia wakati wa ku-sign up. Nikienda kwa I can't access my account napo naishia hapa kwa Your password...
  18. no nm

    Examinations formats hapa

    Nahitaji, ziwe za physics, pure mathematics na chemistry a'level Pia kwa ajili ya faida ya wengine waweza kuweka hata za masomo mengine ya a'level na o'level pia. Muwe na Siku njema!
  19. no nm

    Anayefahamu topics za Pure Mathematics, Kidato cha Sita

    Nazihitaji sasa hivi, ahsanteni
  20. no nm

    Badilisha eneo unaloonekana mtandaoni & tumia jina moja facebook

    ¤.Kwanza kabisa log in katika acount ya facbook Wakati uko ndani ingia katika Account Setting kisha badilisha lugha kuwa Bahasa Indonesia. ¤.Njia Ya kuwafanya facebook wakuamini kuwa unatokea Bahasa Indonesia ni 1.Ingia katika mtandao wa ProxyNova - Fresh Proxy Server List, Free Online...
Back
Top Bottom