no nm
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 212
- 32
Hasa kwa kutumia PC au mobile browser (kwa app ya yahoo hamna tatizo), kila nikijaribu napata huu ujumbe 'We've noticed some unusual account activity.' Ila sina access na namba ya simu niliyoitumia wakati wa ku-sign up. Nikienda kwa I can't access my account napo naishia hapa kwa Your password cant be reset online.
Msaada tafadhali,
Msaada tafadhali,