Huyu mwanamama ndio yule aliyeuawa na mumewe kwa sababu ya mkorogo?
Kuna mmoja mume wake ka msue kwa kuwa ugly duh mna mambo nyie!!!!
Mmmh!!!
Huo ubaya umekuja baada ya ndoa?
Swali zuri sana tena ameshazaa nae kabisa
Dunia kweli hadaa walimwengu shujaa...
Mnataka ka kufanana vile
Yap ni ni make up