Search results

  1. M

    Ethiopia: Binti aliyetekwa akaokolewa na simba watatu

    Mbona hajaandika hiki ulichokisema!simba ndio waliomuokoa kwa idhini ya mungu muumba sio Yesu hapa ni Allah (s.a.w) ndio muokozi
  2. M

    Kwanini na ni namna gani Dr Idrissa Rashidi aliondoka TANESCO?

    Nakumbuka alishauri mitambo ile ya Dowansi(IPTL) inunuliwe na serikali ili kusiwe na gharama za kukodi,mafisadi wakasema et serikali haiwez nunua mitambo mibovu!mitambo hiyohiyo leo serikali inalipia kwa fedha nyingi sana!kwa hili jama namkubali
  3. M

    Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    Hakuna ukafiri kama huu wa kujiua mwenyewe!eti maisha ,cjui msongo wa mawazo!jidanganye et unaenda pumzika!
  4. M

    Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Liverpool:Nahitaji pump ya kuvuta Maji 80m kutoka kisimani(chini ya Ardh),naomba msaada aina ya pump &bei.ili wastani wa Maji kwa 1hr=600mmm
  5. M

    Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Unahakika gani kama yesu emesema usioe zaid ya Mke mmoja?kwn Leo maandiko yanasemaje kuhusu mashoga na wakati wake Alisemaje?ukristo unaendwa kwa Mujibu wa mapdri wanavyataka!
  6. M

    Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Acheni kufuata dini zinzoendeshwa kwa kufuata fikra za watu!yani hata akizn musubiri kifo?
  7. M

    Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Angekua muislam ndio atakuwa amemtendea haki mkewe kwa kuendelea kuwa nae na yy kuoa mwingine,ila kwa huu "UKRISTO ULIVYO NA MAPUNGUFU"pafoko hata kubali,ushauri hamieni ktk uislam dini inayoendana na maumbile yako!
  8. M

    Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

    Acha "UZINIFU" km upo serious mwmbie abadili dini ili muoane badala ya kuendelea kuzini et unalipa kisasi?
  9. M

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Nimepata cheti,ila nachotaka kujua kwni sitakiwi kuwa labda na katiba n.k,pili cjui nifanye nn kabla kuitumia?
  10. M

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Nina kampuni inaitwa"MATITU INVERSTMENT &GENERAL SUPPLY"nilishaisajili brera.cna document yoyote ya kampuni,nitakapotaka kuitumia nifanyeje?
  11. M

    natafuta nyumba ya kununua mafinga

    IPO songea mjni,karibu tufanye biashara!
  12. M

    Maana halisi ya ndoa ni nini?

    Unbelievable Unataka kwa mujibu wa vitabu vya Dini au katiba au mila na dasturi?
  13. M

    Madhara ya kulawiti

    Uislam haujaruhusu ,hakuna hadith ya namna hiyo
  14. M

    Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

    Acha "ujuha"kwn nyerere ndie nani?
  15. M

    Mkapa amedhihakiwa na CCM/Serikali, kuhusu mkataba wa ushirikiano Ulaya na Afrika?

    'Dawa ya moto ni moto'walisema wahenga,huyu jamaa ni mnafiki mkubwa!kwni alipoiuza/binafsisha 'NBC'kwn nani alitaka zaidi yake?alikatazwa na Mwl.jk,alimuona -----!et leo anajifanya hakubali mikataba?
  16. M

    Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Acha uongo!lete hapa idadi ya wanafunzi wa shule za kata kwa miaka 2,2013&2014, idadi ya jumla yao!waliofaulu&waliofeli ili tuthibitishe hiyo % ulioiweka hapo!
  17. M

    Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Sasa zikibireshwa zikawa tayari,hao wanaotoka o level wataenda wapi?
  18. M

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Acha ujinga,kwn katiba ya Burundi inasemaje?
  19. M

    Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    Kitakuwa kinaelezea falsafa za kumkana Allah,lazima kizuiwe!
Back
Top Bottom