Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Laylat88 wewe ni msaliti na mwovu. Mume wako amekukosea nini hadi unamsaliti hivyo? Mume wako alidanganywa na amekuomba radhi na umekubali, sasa unamkomoa bila kosa, hujioni mpumbavu?

Ni akili mbovu na upumbavu na hilo litakugharimu mazima. Iko siku mumeo na huyo hawara yako watakubaini na utakosa mwana na maji ya moto.

Vv
 
Mumeo akijua atapima pia DNA ya hao watoto unaosema wakwake na utajua kuwa maharage pia niboga. Kwa hali hii nadhani hana kitu hapo
 
Hongera kwa kupata Msukuma. Sisi Wasukuma ni wapole tena wastaarabu na wengi wetu siyo timu kibamia. Nakushauri uolewe tu na huyo Msukuma.

*sarcasm intended!
 
Acha tamaa wewe utakufa na ukimwi wewe ni malaya hakuna cha kulipiza hapo we malaya. Unalipizaje hivyo?
 
Utamchukulia mume wake utaona bado haitoshi, utataka umkodie majambazi wamtoe uhai.
Before embarking on a journey of revenge, make sure you dig two graves.
Revenge hainaga mwisho mzuri.
 
Acha "UZINIFU" km upo serious mwmbie abadili dini ili muoane badala ya kuendelea kuzini et unalipa kisasi?
 
We ni ma. LA. Ya kebge wewe usha vuta bange sijui hiv unaakili kweli? Uzinzi wako unatuletea hum mbw. A. Wee
 
Mmh!

Kwanza pole kwa kuachka kwa muda

Pili,ww hukua mke mwema kwa huyo mume wako wa kwanza(hukuwa tayar kujheshm na kuvumilia ktk kla hal)kwann ulchepuka??

Tatu,uckubal kuzaa tena na mwanaume wa type hyo (mweny mtt wa nje)
 
Nakuonea huruma kwa dhambi hiyo ila huyo mzinzi mwenzako anajua una watoto na uliwahi kuolewa?
 
Tiyari nimegundua kwa nini wewe ni mtu wa visas! Ni kuwa Bwana Yesu hayumo ndani mwako! Mtafute Bwana Yesu kwanza na mengine yote utaongezwa. Huo ndio ushauri wangu. Asante
 
Back
Top Bottom