Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

Mimi nimekuja kutoa ushuhuda,Busiminet wana huduma nzuri kuna mtu niliwaunganisha naye amesaidiwa kufunguliwa kampuni kwa wakati na haraka,nawashauri wote wanaohitaj hii huduma wawaone wako vizuri sana

Asanteni

Tunashukru sana kwa ushuhuda wako maana umetuongezea wateja kwa kweli Mungu akubariki sana.

asante
 
mimi ninataka kusajili kampuni... mimi na mdogo wangu, nahitaji mchanganuo wa gharama na muda..... naomba iwe ya kueleweka.. nijibu kupitia sajophin@gmail.com


Hi mjasiliaupeo,

Nishakutumia tayari mchanganuo wa gharama za usajili wa kampuni.

Kazi yako yote ( kuandaa docs na kusajili) inakamilika ndani ya siku 7 za kazi.

asante,karibu sana.
 
Mimi nataka nisajili kampuni ya Utalii niko Moshi naomba uni inbox mchanganua na gharama halisi tafadhali.
 
Mimi nimeingia brera na kuangalia jina mwenyewe nikakuta halina mtu, nimetangaza jina la kampuni na tayari nimeanza kupiga pesa Hata bila kusajiri. sasa ninawateja kenya na canada, jf mambo yote
 
Mimi nimeingia brera na kuangalia jina mwenyewe nikakuta halina mtu, nimetangaza jina la kampuni na tayari nimeanza kupiga pesa Hata bila kusajiri. sasa ninawateja kenya na canada, jf mambo yote

Karibu tukusajilie ili upige pesa zaidi ya hizo maana utakuwa unafanyakazi kwa uhuru na si kujifichaficha,kuna wateja wajanja utakuja kupata na utafanya nao biashara halafu watajua kama wewe ni kampuni hewa na UTAAMKIA MAHAKAMANI KITU AMBACHO KINAWEZA KUKUGHARIMU PESA ZOTE UNAZOSEMA UNAPIGA SASA HIVI.

Nitafute nikupe ushauri wa bure kabisa katika namba tajwa hapo juu maana ni kosa la jinai unachokifanya.

ASANTE
 
Mimi nataka kufungua subsidiary coz nina kampuni nyingine kabla, kusajiri logo/name,ila kwenye hii kampuni nataka kumweka binti yangu mwenye umri wa miaka 3,inakubalika? Na gharama yake pls nipm

Hello misasa;
Kama bado hujahudumiwa,karibu sana tukuhudumie.
asante
 
Bab d

Kama hayo uliyosema n kweli basi kuna haja jamaa atueleze na ikieezekana atupatie no ya usajiri
 
Gharama ni 40,000/= na kuhusu muda ni muda wa siku mbili za kazi.

asante,karibu sana

Nina kampuni inaitwa"MATITU INVERSTMENT &GENERAL SUPPLY"nilishaisajili brera.cna document yoyote ya kampuni,nitakapotaka kuitumia nifanyeje?
 
Back
Top Bottom