Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

Ni ujinga wa wetu ndiyo unatusumbua. Mwalimu alimkataa kuwa hafai ni mtoto, Jk akiwa na miaka 45, wakati Mwalimu alianza kutawala akiwa na miaka 38. Tungekuwa na akili nzuri Jk hakusitahi kupewa hiyo nafasi na juzi alitamka yeye mwenye kuwa na sauti nzuri, bahati uraisi ulimdondokea lasivyo angelikuwa bongo flava. Bado tunataka kufanya makosa mengine, sasa ni kushabikia mtu mwingine aliyekataliwa 1995, ambaye aliulizwa alikopata utajiri, hadi leo hajasema. watu wengi bado hawajui uhusiano wa watawala na raia wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Ndiyo maana ukifika uchaguzi watu wanapewa kanga wanaona hiyo ndiyo mali, kumbe anauziwa mbuzi kwenye gunia. Shukrani kwa upinzani kutoa elimu ya uraia, kidogo watu wameanza kufunguka macho.

Acha "ujuha"kwn nyerere ndie nani?
 
Back
Top Bottom