Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

Nina kampuni inaitwa"MATITU INVERSTMENT &GENERAL SUPPLY"nilishaisajili brera.cna document yoyote ya kampuni,nitakapotaka kuitumia nifanyeje?

Habari ndugu;

Samahani,umesema uliisajili brela(hii inamaanisha ukisajili unapewa documents zinazoonyesha umesajiliwa) ulizipoteza AU ULIFANYA NAME SEARCH/NAME CLEARANCE UKAPATA JINA NA KUANZA KUFANYA KAZI?
 
Nimepata cheti,ila nachotaka kujua kwni sitakiwi kuwa labda na katiba n.k,pili cjui nifanye nn kabla kuitumia?
 
Wekeni na costs basi.

Asante sana Nando kwa wazo zuri ila HATUJAWEZA KUWEKA GHARAMA HAPA KWA SABABU NI KAZI NYINGI TUNAWEZA KUFANYA KWA WATEJA WETU ,HIVYO TUNAMSKILIZA MTEJA ANATAKA NINI NDIPO TUNAMTUMIA MCHANGANUO WA GHARAMA KWA KAZIANAYOHITAJI IFANYIKE.

ASANTE,KARIBU SANA.
 
Nimepata cheti,ila nachotaka kujua kwni sitakiwi kuwa labda na katiba n.k,pili cjui nifanye nn kabla kuitumia?

Kufanya kazi bila nyaraka husika inawezekana LAKINI utakuja kukwama katika mambo muhimu na makubwa ya kibiashara.
HIVYO;
1.Kama uliisajili kuwa ni kampuni halafu huna nyaraka zake maana yake hata TIN,LESENI,N.K huwezi kupata labda kama ulivipata zamani halafu nyaraka zikapotea.KATIBA NA NYARAKA ZINGINE LAZIMA UWE NAZO KWA USALAMA WAKO KATIKA BIASHARA
2.Kama ulisajili kuwa ni Jina la biashara,basi hakuna haja ya hizo nyaraka labda kama unataka iwe kampuni ndo nyaraka hizo zitahitajika.

ASANTE SANA
 
mimi nataka kusajili jina la kampuni nataka nijue garama zote pamoja na memorandum plus article of assosiation kwa kampuni ya mambo ya ardhi
 
mimi nataka kusajili jina la kampuni nataka nijue garama zote pamoja na memorandum plus article of assosiation kwa kampuni ya mambo ya ardhi

Naomba unitumie email yako nikutumie mchanganuo wa gharama wa kusajili kampuni yako.

asante,karibu sana
 
Me mwenyewe nataka tin na leseni ya biashara, biashara yangu ni duka la vyakula
 
Okoa muda,okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminet

BUSIMINET COMPANY LIMITED
S.L.P 12659
Simu: +2557 65 90 10 93 / +255782191905

Email.busiminet@gmail.com

Makumbusho,Kinondoni-Dar es salaam

Busiminet tutakusaidia;

1.kusajili jina la biashara, kampuni, NGO’S,SACCOS,Chuo(colleges),Shule,Taasisi za Kidini.

2.kuandaa mchanganuo wa biashara(business plan).

3.kukusaidia kupata mkopo kwa muda mfupi (Kwa wakazi wa Dar es salaam tu).

4.kuandaa na kutunza mahesabu ya biashara.

5.kupata TIN na Leseni za biashara

6.Ushauri kuhusu biashara.

7. kuhamisha au kubadili umiliki (TRA)

8. Kuandaa katiba ya Taasisi (Constitution), Katiba ya Kampuni (Memorandum, Article of Association).

9.Tunaandaa Financial Statements kwa wanaochukua Mikopo mikubwa benki.

Okoa muda,okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminet

Nataka kusajili kampuni
ambilikisye@gmail.com
 
Me mwenyewe nataka tin na leseni ya biashara, biashara yangu ni duka la vyakula

Kama uko Dar es salaam/Nje ya Dar es salaam tafadhali piga simu tajwa hapo juu na utasaidiwa haraka sana.

asante,karibu sana
 
Hello;
Unahitaji TIN na Leseni katika biashara gani ndugu tukusaidie cha kufanya?

asante,karibu sana.

M-pesa,Tigo pesa,Airtel money...nauza gesi kwa reja reja,.na vinywaji baridi kwa bei reja reja.
 
Mkuu kwa biashara ya kawaida kama duka la pembejeo lazima nisajiri jina ili nipate leseni na tini?
 
Back
Top Bottom