Search results

  1. K

    Sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama)

    Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto...
  2. K

    Nafasi za kazi mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

    Kazi kwenu ndugu zangu
  3. K

    Msaada please!

    Salaam! Hongereni na poleni kwa majukumu, naomba msaada kati ya Degree ya Science (ICT) na Degree ya Science (Data Management) zinazotolewa na Open University of Tanzania ipi ni bora zaidi hasa katika ulimwengu huu na dunia ijayo. Ahsanteni. Be blessed!
  4. K

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Heshima yenu wakubwa kwa wadogo. Samahani, mimi ni kijana wa umri wa miaka 29. Naomba msaada wa dawa au ushauri wa jinsi ya kuacha au kupunguza ulevi/unywaji wa pombe. Kiukweli nimezama kweli kweli kwenye dimbwi la ulevi wa pombe yaani mpaka kuna baadhi ya mambo yangu hayaendi kabisa na kuna...
  5. K

    Msaada/Ushauri!

    Habari Dear good people? samahani, kuna shirika linaitwa MDH (Management and Development for Health) linajishughulisha na HIV/AIDS related issues. Shirika hilo limetangaza ajira nyingi tu Tabora. Naomba kujua kwa eale wenye uzoefu MDH huwa wako fair kwenye mchakato mzima wa kuajiri na payments...
  6. K

    Msaada ndugu zangu

    Samahani, naomba kufahamu namna ya ku block zile ads za google ambazo huwa zinatokea kwenye either website au applications kwenye smartphones. Ahsante
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PERFECT 12 HIYO PREDICTIONS ZENU JAMANI AHSANTENI 1 La Liga MALAGA vs BETIS 2.15 3.47 3.60 2 Cyprus ALKI OROKLINIS vs PAFOS FC 2.30 3.08 2.90 3 Turkey GOZTEPE vs KONYASPOR 2.05 3.35 3.60 4 Greece LEVADIAKOS vs PANIONIOS 2.80 2.70 2.60 5 Israel 2 BEITAR JERUSALEM vs MACCABI TEL AVIV 2.55...
  8. K

    Duuuh!!!

    Sote kurudi CCM
  9. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona majibu yako hayaeleweki Mkuu?
  10. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni mnibetie timu zifuatazo.... 1. Everton vs Westham 2. Nantes vs Monaco 3. Las Palmas vs Depotivo la Coruna 4. Angers vs Rennes 5. Guingamp vs Montpellier 6. NK OSIJEK vs HNK HAJDUK SPLIT 7. KORTRIJK vs ANTWERP 8. LANUS (ARG) vs GREMIO (BRA) 9. U. SAN MARTIN vs ALIANZA LIMA Ahsanteni...
  11. K

    DIPLOMA YA LAW NA DIPLOMA YA JOURNALISM

    Zote mizigo tu...ila kati ya hizo ni bora hata asome Diploma in Law
  12. K

    Msaada!

    Habari Ndugu zangu! Samahani sana naomba kufahamu kati ya SD Bioline na Alere Determine...kipi ni kipimo bora zaidi kwa kupima HIV. Ikumbukwe kuwa Alere was once used in Tanzania na SD Bioline ndio sasa inatumika. Ahsante
  13. K

    Msaada

    Ahsante sana Kiongozi
  14. K

    Msaada

    Samahani sana ndugu zangu, naomba kujua kati ya Usalama wa taifa, Polisi, JWTZ, Uhamiaji na PCCB wapi ni kuzuri zaidi just in case mtu akipata ajira huko
  15. K

    Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

    Nina Tecno C 9, ina chemka sana na inakula charge sana pia...naomba kufahamu kama hali hiyo ni ya kawaida kwa simu hiyo
  16. K

    Open University watapeli au wapo Kisheria?

    Wapo kisheria Mkuu, kumbuka OUT ni chuo kikuu cha serikali
Back
Top Bottom