Msaada/Ushauri!

KASEHUYE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
299
59
Habari Dear good people? samahani, kuna shirika linaitwa MDH (Management and Development for Health) linajishughulisha na HIV/AIDS related issues. Shirika hilo limetangaza ajira nyingi tu Tabora. Naomba kujua kwa eale wenye uzoefu MDH huwa wako fair kwenye mchakato mzima wa kuajiri na payments zao huwa ziko vp? Ahsante
 
Wapo fair . Payment ni makubaliano yenu, muajiřiwa na muajiri ukipewa nafasi ya kutaja mshahàara usisite kutaja kiasi chako
 
NIME APPLY DATA OFFICER INTERN HAPO DEADLINE ILIKUWA TAREHE 21JULY 2019 VIP UNAWZA NIPA DETAILS YOYOTE HILE MZEE BABA .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom