Msaada!

KASEHUYE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
299
60
Habari Ndugu zangu! Samahani sana naomba kufahamu kati ya SD Bioline na Alere Determine...kipi ni kipimo bora zaidi kwa kupima HIV. Ikumbukwe kuwa Alere was once used in Tanzania na SD Bioline ndio sasa inatumika. Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom