Kote inategemea na mtu mwenyewe,hakuna kazi nzuri kuliko nyingine.Samahani sana ndugu zangu, naomba kujua kati ya Usalama wa taifa, Polisi, JWTZ, Uhamiaji na PCCB wapi ni kuzuri zaidi just in case mtu akipata ajira huko
Ahsante sana KiongoziKote inategemea na mtu mwenyewe,hakuna kazi nzuri kuliko nyingine.
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app