Search results

  1. Prisoner

    Iphone 4 wanted

    Wana JF Heshima mbele Naomba kama mwenye kujua nataka ninunue IPHONE 4 ya ukweli kwa Dola 700. Je anayejua? NAHITAJI HARAKA NIMEPATA KAZI MAJUU NATAKA KWENDA NAYO WAKUU
  2. Prisoner

    Mama AFRICA Hali yake wakuu?

    Jamani nilibahatika kumwona mama Africa pale Muhimbi sasa mwenye DATA maana nilihuzunika sana kumwona maana alikuwa anaumwa na niliweza kuongea nae machache sasa sijui huko Tanzania kwani nilisafiri baada ya wiki mbili tokea nimwone mwezi wa pili kama sikosei tarehe za mwanzoni. Nilikuwa...
  3. Prisoner

    Nia ya rais r. Mugabe kubaki madarakani mpaka kufa

    Wakati akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa wachambuzi wanasema Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ana nia kubaki madarakani mpaka kufa. Source VOA. sasa hii wandugu imekaaje je Tanzania Mh. Rais Jakaya Kikwete akishughulikia Mafisadi tumpe ridhaa mpaka kufa kwake. Maana yeye Mh.Rais Kikwete anaogopa...
  4. Prisoner

    Askari wa Interpol agongwa

    Habari wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa askari mmoja Inspekta Lucy wa Makao makuu kitengo cha Interpol amegongwa na Gari linalosemekana la mhasibu wa polisi alipokuwa akisubiria gari aende kazini pale barabara ya kilwa karibu na flat mpya za polisi hapa Dar es salaam. Hali ya mgonjwa...
  5. Prisoner

    Tanzania, Kenya zaingia kwenye mvutano

    Hii habari niliipata kwenye VOA sasa nashindwa kuelewa kwa nini Tanzania na Kenya zimeingia kwenye Mvutano au wanataka huu ushirikiano ufe kwani Tazania inataka kuuza Pembe za Ndovu nje ya Nchi na huku Kenya ikikataa Tanzania kujihusisha na Biashara hiyo kwani ukiangalia nyuma ya Pazia Kenya...
  6. Prisoner

    Alaah! Kumbe

    Habari wana JF nimepigiwa simu na Best yangu analalamika sana kuhusu hizi Blog zinazoitwa za Jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa. Jamaa anasema alipost katika blog mojawapo ambayo inajiita ya Jamii kumbe ya Biashara sasa cha kufanya...
  7. Prisoner

    Kutoa ngono, hela ili upewe nyumba ya polisi ni haki?

    Habari wana JF Naomba kuuliza maana hapa ni kitu cha ajabu nimesoma gazeti la Tanzania Daima askari wanalalamika kuhusu ugawaji wa nyumba je ni sahihi kama mtu kwa wanawake kutoa ngono na kwa wenye nazo kutoa Pesa ili wapate nyumba? hayo magorofa mapya. Naomba wenye Data zaidi ili tuweze...
  8. Prisoner

    Ku-delete window xp moja

    Habari wana JF mimi nimkuja hapa leo kuwaomba swali kwani nawajua wa kina SHY wanaweza kunisave nilisomaga wanavyo save watu. Laptop yangu ni Toshiba pro. sasa ilikuwa na window XP nikasahau Window Password kwa kulog in nikaiformat kisha nikaweka windo ingine sasa wakati nawasha (switch on)...
  9. Prisoner

    Jinsi ya kupata akaunti kwenye jf

    Habari wakubwa? Naomba na mimi niwe mmoja wa akaunti ya prisoner@Jamiiforums.com nitafurahi sana Je nifanyeje? Naombe wenye kujua anielekeze. asante
  10. Prisoner

    Uume kusimama wakati wa kulala

    Habari ya kazi wana JF napenda kuchukua nafasi hii kuuliza swali mimi huwa nalala saa nne usiku na kuamka saa kumi nambili asubuhi Tatizo langu kila wakati wa kulala uume wangu usimama usiku kucha ikifika asubudi naamka ndio hutulia na ukisimama unasimama mpaka unauma usiku kucha je Hili ni...
  11. Prisoner

    Najitambulisha wakubwa baada ya kutoka kifungoni

    Wana JF najitambusha tena kwenu baada ya kutoka kifungoni hapo zamani nilitumia jani kavu sasa unajua tena masuala ya rushwa balaa usiombe sasa nimerudi nimeshinda kesi
Back
Top Bottom