Iphone 4 wanted | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iphone 4 wanted

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Prisoner, May 3, 2011.

 1. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF Heshima mbele

  Naomba kama mwenye kujua nataka ninunue IPHONE 4 ya ukweli kwa Dola 700. Je anayejua? NAHITAJI HARAKA NIMEPATA KAZI MAJUU NATAKA KWENDA NAYO WAKUU
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Iphone wapo majuu marekani na hata kama waenda ulaya twategemea utapata kwa bei ya kueleweka kuliko bongo labda uwe wataka ya mazabe.
  ulichoandika ni sawa na utake kununua simu ya mchina leo na kesho waelekea huko huko.
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  DU Pr. hiyo picha ulioweka kiboko inatisha na zidhani kama mtu atashawishika kukwambia kitu
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii ajabu, unaenda bukoba unanunua ndizi dodoma? teh teh
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huko hata 139usd unapata at&t!
   
 6. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Majuu unayoenda ni ipi ? Au nyanda za juu kusini.
   
 7. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona nyinyi wote baba mmoja mama mbali x 2, looooooh!

   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280

  Du, huu ni ukweli!!
  Kama unakuja majuu basi si uje kununua hukuhuku utaipata for less than $700?
  Unless majuu yenyewe ni nyanda za juu
   
 9. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mpaka nacheka,picha zote hukuziona mpaka hii ndio ikakufurahisha na ukaona utufurahishe?Anyway lakini hawa jamaa wana agents mpaka humu,tutalia tukisikia na wewe umetobolewa macho ndg yetu mwana JF!Halafu ndio unakwenda kwao?:A S cry:
   
 10. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duka gani mkuu au site gani,labda na mimi naweza kujiokoa?

   
 11. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Majuu unaelekea nchi gani? mimi naishi majuu naweza kukuletea huko maana nakuja mwezi june. Tuwasiliane kwa PM.
  Lakini kwa utafiti wa haraka haraka, huwezi kupata iPHONE 4 kwa bei hiyo aslani.
   
 12. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Akienda e-bay anawezapata iPhone4 16gb chini ya $700
   
 13. m

  massai JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ukowapi wewe ? mimi ninayo hiyokitu .reply and put your nom.
   
 14. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hapa JF hatujakuuliza hiyo cmu unataka uitumie wapi lakini tayari umeshatutangazia kama unaenda majuu. Natamani niwape pole majirani zako.
   
Loading...